secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Kuangalia huu mwandiko wako ni sawa na kulikazia macho jua.
Badilisha mwandiko la sivyo mtoto wako atakukana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuangalia huu mwandiko wako ni sawa na kulikazia macho jua.
Nusu albino Half american kumbe una Jenga mwanetu 😂🤣Limwandiko la hovyo
View attachment 3239053
Mi saidia fundi hata msitishikeNusu albino Half american kumbe una Jenga mwanetu 😂🤣
Naona masuala ya gypsum board, dar kweli jobless nina safari ndefu 🤣😂Mi saidia fundi hata msitishike
ephen_ sio Kwa ubaya ila huu hapana mwanangu 🤣😂
Vishu Mtata tukomae kuomba deiwaka hapa, Half american ana shusha chuma Cha maana🤣😂Limwandiko la hovyo
View attachment 3239053
huu mwandiko kama naujua
dah rih , 😂 🤣
Macroeconomic?
😃😃Macroeconomic?
Something like that...Macroeconomic?
Kwa style hii uchumi hauwezi kupanda, uta pinda tu😂
😃😃😃😃😃😃😃😃Mwanaume aliyekamilika huwa haandiki hivi mkuu acha upuuzi wako.
Acha tukagawane hiyo 30k ya ufundiVishu Mtata tukomae kuomba deiwaka hapa, Half american ana shusha chuma Cha maana🤣😂