Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

orait
images.jpg
 
Naona hata aibu ulivyo wa mbaya mwandiko wenyewe.

Ila Saint Anne wallah una mwandiko mzuri africa mashariki na kati hadi kusini mwa jangwa la sahara.

Ngoja nikisogea kwenye kalamu na karatasi ntaandika japo kidgo.

Usinicheke ila. [emoji23][emoji23]
Sitakucheka dokta wangu[emoji23]
Usisahau kuandika na kupiga picha niuone,,usiniangushe katika hili tafadhali.


Mwandiko wangu siyo mzuri,basi tu huwa sipindishi nikiandika kwenye karatasi, halafu umetokea tu kupendwa tangu nasoma primary hadi namaliza chuo.

Kuna watu wanasema eti ni kwa sababu nimeandika kidogo kwa kuremba[emoji38],,,
Hawajui tu ,kwenye notes ukijikusanya mwingi unapendeza zaidi ya huo na speed yangu Ni zaidi ya 180.

Asante kwa kusifia mwandiko wangu[emoji7]..
Ninavyojisikia raha Sasa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nilikuwa mwaka wa 1, nilikuwa na tabia ya kuacha summary kwenye kitabu/daftari pindi nikimaliza kujisomea. Niliiacha hii summary kwenye kitabu cha rafiki yangu.

Juzi kati rafiki yangu alikuwa anafanya usafi huko kwake mara akakutana na hiyo summary akaamua kunitumia akiwa ananikumbusha jinsi tulivyokuwa tunapiga msuli(kujisomea) sumu/kifo(tulipenda kuuita hivi).

Baada ya kuniambia ''Oyaaa Mwifwa, mzee wa misuli sumu samari yako hii hapa kwenye Snell's yangu'' nikacheka sana, tukakumbushana mawili matatu about those old good days.
IMG_20210717_125332_314.jpg
 
Back
Top Bottom