Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu humu au PM?😐[emoji23]
Scars nimependa namna unaandika[emoji171].
Naomba kwa mwandiko huo uniandikie ujumbe wowote,hata jina langu tu[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]mhhhKuna watu wana miandiko yao humu ila wametulia nayo.
Akina St Anne sasa tusiojua kuandika,tumewahi kupost[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huu muandiko huyu demu inabidi nimuoe kabisa
Huu mbona ni kama wa jamaa yangu hivi wa damu kabisa
Ovarian CystKikubwa watu waponeView attachment 1857493
Hujui kuwa watu huwa hawafanani na miandiko yao!Kwa huu muandiko huyu demu inabidi nimuoe kabisa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mhhh
😂😂Hata sometimes mi mwenyewe nashindwa kusoma. Siku moja nilijaza jina langu kwenye karatasi ya mtihani. Ilikuwa kama spring imevutwa sana. Ticha akaja class na kusema huu siyo uandikaji😀
View attachment 1856674
Thread seal ,
Tupo wengi mkuuSitaki hata mwanangu aone muandiko wangu.
duuuh au ni huyo mimi sasaHuu mbona ni kama wa jamaa yangu hivi wa damu kabisa
Kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kikubwa watu waponeView attachment 1857493
Acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]