Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

Nikijitahidi sana....

IMG_20210816_145637.jpg
 
Bas leo hapo ndo umewaprove wrong
Hahaha
Mkuu watu wa Mbeya na ufundi wa kupika ni Kama mafuta na maji.

Akhsante mkuu kwa kujenga Imani hiyo kwangu, yawezekana kweli najua[emoji4].
 
Mtumishi mwenzangu Pep .
Sijaona mwandiko wako baba mtumishi.
Shika pen,andika neno , nafsi yangu iridhike baba.
 
Kama watu wenye miandiko mizuri wangekuwa ndio wanye akili kubwa za masomo basi kuna watu wangeshashaza dunia. KUNA MIAMBA NILIWAHI KUSOMA NAYO PRIMARY INA MIANDIKO MIZURI AMBAYO HATA KWENYE FONT ZA KOMPUTA SIJAWAHI KUZIONA
 
Hahaha
Mkuu watu wa Mbeya na ufundi wa kupika ni Kama mafuta na maji.

Akhsante mkuu kwa kujenga Imani hiyo kwangu, yawezekana kweli najua[emoji4].
Niko mbeya huku ukikuta wanauza chai rangi ni rangi kweli hamna hata tule tu harufu harufu twa viungo. 😂😂
 
Nilikuwa naandika poa nilipokuwa kidato cha pili, shule nzima hakuna aliyefikia waliokuwa na boyfriends walileta barua zao nizinakili tayari kupelekwa kunakohusika, napakwa [emoji168] kwenye hizi lips nene nazilaza juu ya barua zao,,......nimekumbuka mbali sana,
Noela utakua ni kisser mzuri sana.
 
bado wakunifikia kwa mwandiko hum hajapatkana, naendelea kuchunguza nan wakuvunja rekodi ya poor handwriting[emoji23][emoji23]
 
Niko mbeya huku ukikuta wanauza chai rangi ni rangi kweli hamna hata tule tu harufu harufu twa viungo. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenyeji tushazoea na ndio tumezaliwa na kukulia humo.
 
Kama watu wenye miandiko mizuri wangekuwa ndio wanye akili kubwa za masomo basi kuna watu wangeshashaza dunia. KUNA MIAMBA NILIWAHI KUSOMA NAYO PRIMARY INA MIANDIKO MIZURI AMBAYO HATA KWENYE FONT ZA KOMPUTA SIJAWAHI KUZIONA
Na kuna waliobarikiwa vyote,yaani mwandiko mzuri na akili za darasani.

Maisha hayana kanuni mkuu.
 
Aisee...mwandiko wangu haukuwahi kueleweka hata na mama yangu aliyejaribu kunifundisha kuandika,naamini ni mungu tu ndiyo anayeelewa muandiko wangu,mwandiko unaeleweka tu pale kwenye kufanya calculation mbali na hapo ni majanga,sijajua mabaraza ya mitihani walisahihisha vipi ule muandiko...kitu ninachokipenda kwenye muandiko wangu ni sahihi yangu na kuandika namba Basi...
 
Back
Top Bottom