holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
watu wa ccm hawajawai kuwa na mwandiko mzuriRight of choiceView attachment 1856761
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wa ccm hawajawai kuwa na mwandiko mzuriRight of choiceView attachment 1856761
[emoji3578]View attachment 1880909
And these for sure defines your cooking ability[emoji3590]View attachment 1890171
[emoji23]mkuu,Mimi nimetokea ile mikoa ambayo huwa mnatuponda dada zenu kwamba hatujui kupika.And these for sure defines your cooking ability
Bas leo hapo ndo umewaprove wrong[emoji23]mkuu,Mimi nimetokea ile mikoa ambayo huwa mnatuponda dada zenu kwamba hatujui kupika.
HahahaBas leo hapo ndo umewaprove wrong
Niko mbeya huku ukikuta wanauza chai rangi ni rangi kweli hamna hata tule tu harufu harufu twa viungo. 😂😂Hahaha
Mkuu watu wa Mbeya na ufundi wa kupika ni Kama mafuta na maji.
Akhsante mkuu kwa kujenga Imani hiyo kwangu, yawezekana kweli najua[emoji4].
Noela utakua ni kisser mzuri sana.Nilikuwa naandika poa nilipokuwa kidato cha pili, shule nzima hakuna aliyefikia waliokuwa na boyfriends walileta barua zao nizinakili tayari kupelekwa kunakohusika, napakwa [emoji168] kwenye hizi lips nene nazilaza juu ya barua zao,,......nimekumbuka mbali sana,
[emoji23][emoji23][emoji23]Niko mbeya huku ukikuta wanauza chai rangi ni rangi kweli hamna hata tule tu harufu harufu twa viungo. [emoji23][emoji23]
Na kuna waliobarikiwa vyote,yaani mwandiko mzuri na akili za darasani.Kama watu wenye miandiko mizuri wangekuwa ndio wanye akili kubwa za masomo basi kuna watu wangeshashaza dunia. KUNA MIAMBA NILIWAHI KUSOMA NAYO PRIMARY INA MIANDIKO MIZURI AMBAYO HATA KWENYE FONT ZA KOMPUTA SIJAWAHI KUZIONA
Hiyo booklet vipi Tena?Nimeamua kuuleta kwenu mwandiko wangu mchafu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2042532
Nimeikata nusu vingine ni confidential..... Clerking history hiyo