Show your hand writing (Mwandiko)

Show your hand writing (Mwandiko)

[emoji1787]
Mkuu mwandiko wako ni hatari na nusu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
IMG_20211216_225611_456.jpg
 
Wataalamu wa akili ya binadamu hudai kwamba mwandiko kuwa mzuri au mbaya ni suala linaloanzia katika moyo na ubongo, lakini ni habari njema kwa watu wenye miandiko mibaya au isiyovutia kwamba, wasomi wengi wenye miandiko hiyo huwa ni watu wenye akili kubwa, wakati wa kuandika hufikiri mambo mengi kwa wakati mmoja tofauti na wale wenye kulemba miandiko mara nyingi wanafikiri taratibu, heartbeats zao ziko low.
Huu ni utafiti tafadhali tupinge kwa utafit.
 
Back
Top Bottom