Show za kibabe

Show za kibabe

🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa ulivyotukaribisha karibu kiwanja mi nikajua Bata la new year yunalianzia humo kumbe Cargo?haya bwana endelea na cargo manifest yako
🤣
Bata,linapatikana lakini kwa muda na sehemu maalum,kutoka hadi pombe ziishe,je,uko tayari?🤣
 
Sasa sifahamu unayo au laah maana naona anajileta kwa ukaribu kabsa kwako.🤣
Huyu muache nimteke nikamfungie kwenye hiyo Cargo yako,ayaangalie macho makubwa mpaka alewe course work zimpite huko chuoni kwake!
 
Back
Top Bottom