Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

Nenda kakope then
 
utakuwa dalali wewe mkuu wewe mpewazo tu achana na mambo ya kutaka share ili umuibie
 
Nenda kakope then
Mimi mtaji nnao mzee wala sina haja ya mkopo.
By the way hiyo biashara ni ngumu sana kwa mtu ambaye hajawahi kufanya akatoboa. Mpaka mtu akushike mkono, upate mzigo mzuri, uwe na soko la uhakika.
Nilitarajia mhusika aulize tunafanyaje nimpe ABCD hapa hapa jukwaani. Ningetaka kutapeli ningekuwa tayari PM kwake.
 
Mkuu Biashara ziko za aina nyingi,Kuna Biashara za HUDUMA,Kuna NICHE BUSINES,Kuna Tech Business iategemea na Skills set zako na Market research yako.Ila biashara ambzo zinaweza kukupa Faida ya 2M per month kwa mtaji wa 20M ni nyingi sana.
Kabisa
 
Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
Zama porini fanya biashara ya mbao na mirunda.
 
Mkuu,
Hapo kwenye roi (ROI) wadau ambao hawajasoma mambo ya Finance unawaacha kapa (RETURN ON INVESTMENT) [emoji4][emoji4][emoji4] Hawata ijua mkuu wafafanulie...
Kwani humu kuna watu ambao hawajasoma? Wanaweza kuwepo wasio na elimu kubwa sana, lakini sio kwa kiwango cha kushindwa kujua (ROI).
 
Kwa haya maelezo wewe ni tapeli.


Makinikeni
 
Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
Kopesha kwa riba ila kopesha wafanyakazi wa serikali tu.
 
Mkuu mtafute huyu kuna mwanga hapa.ila aweke dhamana ya Mali isiyohamishika yenye thamani ya 15 mil na mikataba isainiwe kwa mwanasheria mkewe ahusike
Hiyo biashara ni ngumu sana, kwani masokoni kuna watu wameshajifanya kama ni mitaa ya mexico (wazee wa madawa ya kulevya) bila hao huwezi uza kabisa.
 
Mkuu hizo biashara zipo nyingi sana tatizo ni moja tu..... experience

Asilimia 70 ya biashara mpya zinakufa baada ya mwaka mmoja kwasababu ya ukosefu wa uzoefu ikiwemo nidhamu ya biashara

Asilimia kubwa ya watakao kupa ushauri humu hawajawahi kufanya biashara yoyote zaidi ya kusikia biashara fulani inalipa sana

Ukienda labda kariakoo ukamkuta mtu anayepiga hadi milioni 20 kwa mwezi kwa kuleta nyanya kariakoo akikwambia njia na mitihani aliyopitia hadi kuja ku master hiyo biashara ndio utajua biashara is not for weak people

Jikite kuijua biashara unayoitaka kwanza, fanya tafiti ya kutosha kisha ingia mazima yaani very very serious
 
Kama huna shughuli nyingine yeyote nikimaanisha unaweza simamia mwenyewe 100% .Fanya biashara ya kununua magari number d yasiyomaliza mafuta kama ist.vits.paso .unayakarabati unaenda uza mkoani .hukosi mil 2 Hadi 5 kila mwezi.
Fuga nguruwe
 
Mkuu wewe toa elimu mungu atakubariki,,hapa jukwaani kila mtu anayake..lakini serious natafuta idea nikiifanya itanipa return ya 20 pct kwa mwezi kwa mtaji wa 20 Million
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…