Masikini banah!
Hapo hata 100 huna.
Mnapenda biashara zisizo na risk halafu mnatarajia faida kubwa, nani kakwambia?
Kaweke bank au UTT AMIS hiyo milioni 10 yako, upate milion 1.5 kwa mwezi zero risk uone kama watakupa.
Kama naweka dhamana, huo ni mkopo, siwezi kutoa riba ya 15% kila mwezi ntakuwa namfaidisha yeye wakati amekaa nyumbani kwake.
By the way, nina uwezo wa kwenda bank nikakopa mwenyewe 10 milion na riba haifiki huko.
Mimi nimemwambia tufanye biashara, atoe capital, natoa manpower na usimamizi. Aje ninapofanya biashara, apafahamu ninapoishi, ajue utambulisho wangu wote ajiridhishe kila kitu aweke pesa.
Unaposema LAZIMA kwani nimeomba mkopo? Kiwanja changu kimoja Kinyerezi kinanipa mkopo wa milion 10 bila shida yoyote. Why those hustles?