Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

Hizo ni chokochoko

Mazishi ya Kitaifa ni Monduli na Bunge zima watakuwepo pamoja na Rais wa JMT, Jaji Mkuu na Mkuu wa Majeshi
 
Sentensi Moja tu

Lowassa pamoja na mapungufu ya kibinadamu alikuwa ni Kiongozi mwenye Sifa ya Uongozi, Mvumilivu sana tutamkumbuka, amesema Mzee Wariioba
 
Back
Top Bottom