Shughuli za kuandaa katiba ya EAC zaanza huku Tanzania ikiendelea kununa

Kwani si wanayo ile ng'ombe yao (cow) bora wafunge mkokoteni wasonge mbele ,shida zao zinawafanya wawe vimbelembele na kuilalamikia TANZANIA Mara kwa Mara si waende na hilo ling'ombe Lao ala
View attachment 1185057

Kuna baadhi ya vitu hairuhusiwi kuzifanya bila kila mwanachama kuridhia.
 
Ina maana ulikuwa unaota ipo siku mtakua na political federation?
Hujaelewa kinachojadiliwa hapa? Miaka miwili iliyopita marais wote wa nchi za EAC walikubaliana kuhusu political confedaration. Process ya kwanza ndio hii hapa ya kuandika katiba ya EAC. Kuwa na mazoea ya kusoma taarifa kwanza kabla ya kutupia comment zako za ajabu ajabu.
 
Hahahaha, tatizo hatutaki kushirikiana na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria, Kenya akili IQ zao ni ndogo sana ndio sababu hata Ukabila umewashinda, vipi hadi Leo mnahemea chakula kwa majirani takriban miaka 60 tangu mjitawale?.

Kuonyesha kwamba uwezo wenu wa akili ni mdogo Sana, jaribu kufikiria hili; Eti mtu mzima kwa akili yake anasema sheria za EAC haziruhusu kuendelea na jumbo lolote hadi nchi zote zikubali, iweje Kenya iliongoza nchi zingine kuanzisha CoW?, au wakati inaanzishwa hiyo CoW, hiyo sheria haikuwepo?.

Kwanza LAPSET haukuwa mradi wa EAC, ndio sababu Ethiopia imo katika huo mradi, kutokana na akili zenu mbaya, mkawa mnahusisha LAPSET na CoW, hiyo ndio sababu ya kusambaratika kwa CoW na LAPSET pamoja. Bila Tanzania hakuna EAC.
 
Jamaa ni wabaguzi kinoma,nenda kaangalie sasa uhalisia wa maisha wanayoishi,
 
Mngekuwa sio wazembe mngeshaunda jumuiya yenu kitambo sana [emoji23][emoji23][emoji23] nyie jamaa wapumbafu Sana.
 
Sio kweli unayosema, nchi za EAC zilisema zinataka kuanzisha "political federation ", Tanzania pekee ndio ikakataa na kusema kwamba kabla ya kuanzisha federation, kwanza lazima tukamilishe mambo ya kisera na kifedha, Tanzania ilikua na wasiwasi juu ya umiliki wa ardhi ktk hiyo east Africa political federation.

Baada ya kauli hiyo, nchi zilizobaki zikaendelea na zoezi la kuandika katika, kwa Mara ya kwanza zoezi la kuandika katiba lilifanyika Uganda 2013, huo ulikua mwanzo wa CoW.
 
Political federation ilikataliwa na viongozi wote wa EAC, isipokuwa M7. Yeye ndiye aliyekuwa akiendeleza hoja hiyo tangu hapo awali. Political CONFEDERATION ndio ilikubaliwa na marais wote wa EAC. Katiba ya EAC itaendeleza mfumo huo wa confedaration na sio federation. Kuwa makini jombaa.
 
Leta statistics zenu mnopendaga, ulinganishe transactions kati ya kenya na ethiopia na kenya na tz, ipi kubwa.
 
Sikiliza kwa makini
 
Msimamo wetu upo wazi, tatizo mnajaribu kujitoa ufahamu.
 
Sikiliza kwa makini
Wewe jamaa bana, mimi nakuletea makubaliano ya marais, ya mwaka wa 2017 kuhusu CONFEDERATION ya nchi za EAC. Wakati JPM alikuwa ndiye rais na wewe unaniletea video ya Kikwete akiongea kuhusu federation na sio confedaration. Hivyo ni vitu viwili tofauti. Nimeshakueleza yote kwenye post yangu iliyotangulia hii hapa. M7 pekee yake ndiye aliyekuwa anataka political federation, nadhani alikuwa na matumaini ya kuwa rais wa kwanza wa EAC. Kenya, Tz, Rwanda na Burundi wote walikataa. Alafu mimi pia sijaunga mkono hoja ya muungano wa kisiasa wa aina yeyote ile, iwe federation au confederation. Wakenya tulipofika sasa hivi kikatiba, kisiasa na kidemokrasia hatuna lolote la kufaidi kutoka kwa nchi yeyote nyingine ukanda huu. Nyinyi wote mnaongozwa kidekteta na kiubabaishaji wakati sisi tulishatoka huko zamani, tena kwa jasho na damu na hatuna hamu kabisa ya kurudi nyuma.
 
Huu Uzi unazungumzia mchakato wa katiba ya Political federation, wewe unazungumzia political confederation, ndio Mara zote tukisema ninyi akili zenu ni ndogo sana huwa masema tunawadhalilisha.

Sikiliza wewe, Kenya can't survive in with out Tanzania due to the following reasons.
1) Viwanda vyenu Vingi vinategemea "raw materials" kutoka Tanzania, Pamba, katani, coal, karatasi. Matunda.
2)Chakula mnategemea Tanzania by 70%. Hapa sizungumzii mahindi na mchele pekee, sikiliza hapa uone ni kwa kiasi gani Kenya ilivyotegemezi kwa Tanzania.https://youtu.be/gr6AJR_Hsgc
3)Wakenya wamewekeza sana Tanzania, zaidi ya kampuni 500 Zaidi ya $1.5B.
4) Bidhaa zenu zote zinazokwenda kusini mwa Africa zinapitia Tanzania.

Kuhusu katiba, ninyi mna akili ndogo hadi tunawadharau, hivi katiba imesaidia nini wakenya kama bado mkiandamana kudai haki zenu polisi wanawapiga risasi na kuwauwa kama wanyama na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…