Shughuli za Ujenzi Zimeongezeka sana Mitaani Awamu Hii Ya Rais Samia na kutoa Fursa Ya Upatikanaji wa Pesa kwa vijana Mitaani

Wajenzi wenyewe ndio hawa mpaka wamekuta Tiktok ya ccm dodoma kuwa chama wajinga.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250213_083039_Instagram.jpg
    510.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250213_083034_Instagram.jpg
    446.2 KB · Views: 1
  • IMG-20250213-WA0034.jpg
    57.5 KB · Views: 1
Huo ni uongo, niko Dodoma hakuna awamu imerudisha nyuma ujenzi wa jiji kama ya huyu bibi...yeye mwenyews hatulii kabisa lkulu mpya ya chamwino iliyokamilishwa ujenzi kwa mabilioni ya pesa za walipakodi!.
 
Huo ni uongo, niko Dodoma hakuna awamu imerudisha nyuma ujenzi wa jiji kama ya huyu bibi...yeye mwenyews hatulii kabisa lkulu mpya ya chamwino iliyokamilishwa ujenzi kwa mabilioni ya pesa za walipakodi!.
Mzururaji
 
MImi naona waafanya ujenzi wengi ni watu watumishi wa umma na serikalini sasa sijui ujenzi huo kama unaendana na kipato!
 
Nafikiri upo mbali na ukweli wakandarasi na wazabuni wanaofanya biashara na serikali ni vilio na kusaga meno wengi wamefilisika dhamana zao zinapigwa minada na taasisi za fedha kisa kucheleweshewa malipo na taasisi za serikali kama Tanroads, Tarura, Ruwasa kwa zaidi ya mwaka sasa. Utabisha lakini hali halisi ndio hio maana mteja mkubwa wa shughuli za ujenzi na zabuni ni serikali katika nchi hii sasa kama hawalipwi stahiki zao kodi itapatikana vipi, mishahara, wadeni wanalipwa vipi?
 

Mbuzi hii Lucas
 
Wala Samia hausiki, ni hustle zangu tu za maisha ndo zimeniwezesha kujenga Wala Samia hausiki narudia kusema Samia hausiki na Mimi kujenga zile nyumba zangu za wapangaji ni Kwa uwezo wa Mungu na hustle zangu za maisha, Narudia Samia hausiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…