Shughuli zaanza kuondoa raia Rafah, ambayo ndio ngome ya mwisho ya HAMAS

Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni

Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni na Vita.
Hamas waliomuuwa Joshua hawana kambi za kijeshi wanaishi humo humo mtaani na wake zao na watoto. Kazi ni kuchungulia dirishani sebuleni na kufyatua RPG kwenye askari wa Israel wanaopita kwa miguu na mzinga. Kifuatacho Israel wanachunguza hilo shambulio limetoka wapi then anashusha jengo zima....kifuatacho ITV ni kilio kama chako kuwa IDF inauwa wanawake na watoto bila kutaja gaidi aliyekufa pamoja nao. Wengine mchana wanashinda mashimoni halafu usiku wanaenda kupiga miti kwa wake zao...! HATA KAMA ANGEKUWA RUSSIA AU CHINA AU US ANGEUWA TU WATOTO KWENYE MAZINGIRA YA NAMNA HII
 
Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni na Vita.
Hili swali ulitakiwa ulielekeze kwa Hamas. Watu wa Gaza wamewakosea nini mpaka waende kumuamsha simba aliyelala ?
 
Ingekua Warusi au Wachina, aisei mbona tungeongea mengine leo, Mrusi hupiga bila kutaka kujua kuna bibi au babu au mtoto, carpet bombing.
 
Hivi issue kidogo inashangaza, Israel ingekuwa na nia ya kupata mateka kupitia negotiations nadhani ingewezekana na mateka wangepatikana hata kama siyo wote.
Sasa cha kushangaza Israel hana haja tena na mateka wameamua kuwatoa kafara ili wapate uhalali wa kuwafuata hamas popote walipo na kuharibu miji ya ukanda wa Gaza. Tusiziraumu nchi ya kiarabu kwa kutoshirikiana na Hamas moja kwa moja, maana yake zitaonekana zilipanga mashambulizi ya 7 October, kama hamasa wanaweza waachia mateka hao wachache waliobakina waache kupigana na wajichanganye na raia. Kuendelea kupigana ni kuwakaribisha IDF waendelee kuivuruga Gaza. Tunaomba vita iishe
 
Magaidi mkishirikiana na mazayuni mtafyekwa tu yaani
 
Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni na Vita.
Hao ni watoto wa magaidi. Kimsingi ni generation wa ugaidi. Wspigwe tu
 
Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni na Vita.
Ubabe tu. Ukishakuwa na nguvu omba Mungu akupe busara. Similar to Putin against Ukraine.
 
Mwenzio aliokuwa na chuki na uislam mwisho wa siku alisilimu
 
Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni na Vita.
Kwani waliouliwa oct 7 walifanya nini mpk wauliwe ...ukijibu hilo basi na vita inaisha
 
Mwenzio aliokuwa na chuki na uislam mwisho wa siku alisilimu

Yalitabiriwa, watu wanashindwa na safari na kujiunga freemason, illuminati, uislamu na mavitu yote ya kuwapeleka jehanum.
Mathayo 24:13 Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa
 
Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni na Vita.
Hata MUNGU anapatiliza maovu ya wazazi hadi kizazi cha nne, baba zao walivamia Israel na kuchukua mateka hivyo watoto lzm walipe na uvamizi ni tangazo la Vita, na Vita haina macho, uwe na siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…