Shughuli zaanza kuondoa raia Rafah, ambayo ndio ngome ya mwisho ya HAMAS

Acheni kujificha nyuma ya watoto, piganeni kama magaidi wengine akina Alshabaab, wao hupambana wenyewe.
Kila eneo na eneo na vita na mbinu zake.
Alshabab na wengine wana ardhi na maeneo ya wazi kujidai na hakuna kuzingirwa.
Ingekuwa Hamas wana mazingira kama ya Houth basi wangekuwa washarudisha ardhi zao na wapalestina kujazana kwenye mashamba ya mababu zao.
 
Unadhani katika hili sakata wamezalisha HAMAS wengine wangapi ?!!!

You cut one Three Grows...., Terrorism na Brainwashing haimalizwi kwa mabavu bali kwa akili, education and not acting like a jerk...
 

Hamna cha eneo na eneo, wote ni magaidi wa uislamu, ila hawa wa HAMAS ni wajinga sana wanajificha kwenye watoto.
 
Merkava
Infatry
Ndio mpango mzima hapo gaza kwasasa
 
Netanyahu is doing what the Nazis did to his people in the 40s.
Wale watoto wakipalestina wamemkosea Nini Netanyahu?? Mkinijibu hili endeleeni na Vita.
penda kufanya utafit kabla hujaanza changia lolote
 
Uharo mtupu siyo tena Shifaa Hospital si ulituambia humu kuwa na Makao Makuu ya Hamas. Vipi wale mateka 250 wa Israel waliokolelwa😂😂 harafu kuna mapunguani wanaamini habari zako JF kuna vituko sana😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…