Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho


..Waganga wa kienyeji hawana kawaida ya kutembea na bunduki / SMG, pamoja na pingu. Sio rahisi kueleweka ikiwa utahusisha utekwaji na mauaji ya Mzee Kibao na waganga wa kienyeji.
 
Ulevi wa damu za watu umewaziba kutoona haki
 
..Ni genge la ajabu sana.

..kwa mfano, Sativa aliyetekwa anadai aliteswa ktk kituo cha Polisi Oysterbay.

..pia Sativa anadai waliomteka walikuwa wanavuta bangi, na kunywa pombe.
Baadhi ya polisi siyo watu hata kidogo. Na wanao kiendesha hiki kikundi ndani ya jeshi la polisi, naamini na wenyewe siku yao ikifika; hakika watakufa kifo kibaya sana kutokana na huu ukatili wao.
 
Comrade, kuna mtu hapo chini amekuambia huna akili! Tafakari halafu uchukue hatua. Inawezekana akawa yuko sahihi, hata kama umetumia uhuru wako wa kutoa maoni.
 
Usikute watekaji wameshagonga visa wako nchi nyingine saa hii.

Serikali yetu haiaminiki hata kwa 2% wanatoa maagizo wakati kuna pending issues zinazofanana na hii hakuna chochote kilichofanyika hadi sasa.

Ni aibu mno kuwa mtanzania.
 
Usikute watekaji wameshagonga visa wako nchi nyingine saa hii.

Serikali yetu haiaminiki hata kwa 2% wanatoa maagizo wakati kuna pending issues zinatofanana na hii hakuna chochote kilichofanyika hadi sasa.

Ni aibu mno kuwa mtanzania.
Kama wale waliompiga risasi Tundu Lissu mpaka leo hakuna aliyekamatwa! Basi utambue fika hakuna maajabu yatakayo tokea. Ila wangekuwa hawahusiani na mfumo, mapema tu wangetiwa mbaroni.
 
Kwanini wasianze kulala mbere na hao wasomali kwanza?
Ni wasomali wanamiliki eneo hatarishi.
Jiulize km mbongo wewe una weza kwenda Mogadishu ufanye ubwege wako.
 
Baadhi ya polisi siyo watu hata kidogo. Na wanao kiendesha hiki kikundi ndani ya jeshi la polisi, naamini na wenyewe siku yao ikifika; hakika watakufa kifo kibaya sana kutokana na huu ukatili wao.

..tunawasema Polisi huku tukiwasahau wanaowatuma?

..tujiulize nani anawatuma na kuwalipa watekaji na wauwaji?
 
Kuna umuhimu watangazaji wote wawe na degree. Huyu anayehojiwa hakupaswa kuonekana sura pia hata sauti ilipaswa iwe manipulated, na sina hakika kama alijulishwa kuhusu usalama na faraga kama maadili yanavyotaka
 
Umeandika ujinga, mganga alisimamisha gari na kumshusha mhanga ndani ya gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…