Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwaondoa polisi wa kizazi hiki, magenge gani mengine ya kihuni umewahi yaona ktk taifa lako, wamekua wakihubiri wananchi tusijichukulie sheria tena kwa makosa yaliyo wazi, tz police hujichukulia sheria mkononi kwa kubambikiza makosa, then nani anaweza wekwa kwenye magenge ya kihuni ktk taifa letu pendwaNimezungumza concept ndugu yangu. Kwamba tukiitumia hii kwamba kila kitu polisi tunaweza kutoa loophole kwa magenge ya kihalifu kujipenyeza. Tujadili kama taifa tuwe na uelewa wa pamoja. Ndiyo point.🙏🙏🙏
Unajua kuna uhalifu wa kuvuka mipaka? Unakumbuka uporaji wa kutumia silaha za kivita fedha za NMB Ubungo hadi afande Solomon akapandishwa cheo? Unakumbuka watu walikuwa wakipiga silaha za kivita Samora na kufunga mitaa? Ndiyo maana nikasema dhana ya uhalidu huu inaweza kuwa na sources nyingi. Tukidhani source ni polisi tunaweza yapa mwanya magenge ya kihalifu.🙏🙏🙏Ukiwaondoa polisi wa kizazi hiki, magenge gani mengine ya kihuni umewahi yaona ktk taifa lako, wamekua wakihubiri wananchi tusijichukulie sheria tena kwa makosa yaliyo wazi, tz police hujichukulia sheria mkononi kwa kubambikiza makosa, then nani anaweza wekwa kwenye magenge ya kihuni ktk taifa letu pendwa
Inawezekana bado kuna mkono wake kwenye masuala haya? Maana alisema ameokoka. Ni kweli ameokoka?Makonda Mungu anamuona.
Bado hajaokoka baladhuli yule.Inawezekana bado kuna mkono wake kwenye masuala haya? Maana alisema ameokoka. Ni kweli ameokoka?
Safi ni kutia moto tuLimewekwa vile kimkakati lisiwe Open ili watu wasione kinachofanyika.....Roma naye alipelekwa mule mule na genge la mkolomije.....Inatakiwa wananchi wa maeneo yale waende na mafuta ya taa wachome huo msitu maana imekuwa kama kichaka cha kufanyia uhalifu.
Watalipa tu hawa watu huu uovu.