Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

Nasikitika kusema "HUNA AKILI".
Asante! Akili ziko limited. Labda zako zimegota sehemu moja. Inawezekana kabisa hujaelewa concept ukajikita tu kwenye tukio baya la kuuwawa ndugu yetu Kibao, ambalo Mhe. Rais na CI amelaani na kuagiza uchunguzi. Nimejadili concept ya watu kupotea na kuuawawa tuiangalie kwa mapana kama taifa inaweza kuwa na sources nyingi. 🙏🙏🙏
 
Nimezungumza concept ndugu yangu. Kwamba tukiitumia hii kwamba kila kitu polisi tunaweza kutoa loophole kwa magenge ya kihalifu kujipenyeza. Tujadili kama taifa tuwe na uelewa wa pamoja. Ndiyo point.🙏🙏🙏
Jadili peke yako sababu wewe una maslahi na wauwaji. Wewe mtu kachukuliwa kwa nguvu kutoka kwenye Basi na abilia wanaona na mbele kwenye siti kulikua na askari wa usalama kakaa ujiulizi?. Na wakaemda kumuuwa. Alafu unakuja na visababu vyako vya kitoto hapa. Peleka upuuzi wako huko.
 
Dah! Hiyo ni case moja! Nmezungumza concept. 🙏🙏🙏
 
..Ni genge la ajabu sana.

..kwa mfano, Sativa aliyetekwa anadai aliteswa ktk kituo cha Polisi Oysterbay.

..pia Sativa anadai waliomteka walikuwa wanavuta bangi, na kunywa pombe.
Usiombe ukaingia mikononi mwa hao wanyama
Ukishaona mtu anavuta bange na kunywa spirit alaf awe ndio mtesi wako atakua ana nyofoa meno Kama anapukuchua mahindi..

Kuna ndugu walichanganya siasa na ELIMU wakiwa shule wakatoroka wakaenda kuhudhuria "MCHAKATO WA KATIBA MPYA CHINI YA MZEE WARIOBA"

Watu wa 5 wakiwa na sare za shule na wakaomba 🎙️ wakaanza kutema madini kiasi ambacho halima mdee na baadhi ya wabunge wa chadema wakawapa zawadi

Dogo mmoja alinukuliwa akisema "" KWA KATIBA HII TULIYO NAYO AKITOKA MWENYEZI MUNGU ANAFUATA RAIS WA TANZANIA"

Pale walikuwepo watu wa usalama na walipiga PICHA na kuchukua video wale vijana walirud shule kuendelea na masomo..

Zilikuja gari za usalama wakawa na mazungumzo na mkuu kwa muda baadae ikagongwa kengere then wakaanza ku spot wale vijana

Walipelekwa kule na walirudishwa wanatambaa except dogo mmoja TU ambae kwa Sasa ni head wa vijana hapo chamani kwao huyo dogo akiulizwa ana zijua gharama za kufanya harakati ndio maana kwa Sasa ametulia KABISA.

Behind the scenes kutekwa kwa Sasa kwa watu mbali mbali nyuma kunakua na mengi tusiyo yajua
 
Tumerithishwa rais wa hovyo sana kuwahi kutokea tangu Tanzania iumbwe.rais hakemei uuaji badala yake ndiyo anazidi kufurahia maovu.kwa nini mtangulizi wake alikuwa akisema tu sitaki kusikia ujambazi na kuisha mara Moja
 
Sahihi kabisa sababu Kama ingekua ni eneo hatarishi tu wangelisafisha Ila sababu ni mpango alisafishwi Hilo.

Limewekwa vile kimkakati lisiwe Open ili watu wasione kinachofanyika.....Roma naye alipelekwa mule mule na genge la mkolomije.....Inatakiwa wananchi wa maeneo yale waende na mafuta ya taa wachome huo msitu maana imekuwa kama kichaka cha kufanyia uhalifu.
 
Asante! Akili ziko limited. Labda zako zimegota sehemu moja. Inawezekana kabisa hujaelewa concept ukajikita tu kwenye tukio baya la kuuwawa ndugu yetu Kibao, ambalo Mhe. Rais na CI amelaani na kuagiza uchunguzi. Nimejadili concept ya watu kupotea na kuuawawa tuiangalie kwa mapana kama taifa inaweza kuwa na sources nyingi. 🙏🙏🙏
Kama Raisi anasema watu kutekwa na kuuwawa ni drama. "Kwa nini asiendelee kuamini kua ni drama"?.

Nani anaweza block basi kwa defender mbili, mbele na nyuma na SMG mikononi kisha wakamuamuru mtu ashuke, na kipindi hicho Trafic yupo ndani ya basi anashuhudia Kila kitu kinachoendelea. Kisha tunaambiwa "Mwenye taarifa za kuuwawa kwake azipeleke police" wewe hata kama unazo unaweza zipeleka?.

Acha tuendelee kuamini ni drama kama alivyosema Raisi wa nchi ya kusadikika.

Hebu niambie Zackaria kule Mara alipowashambulia wasiojilikana hawakujulikana?.

Kila Mwenye akili anawajua wasiojulikana lkn nyie mnaotegemea kulamba miguu ya mabibi na mabwana zenu ndio hamuwajui.

Nape, mkuu wa wilaya ya Logindo, na watu wengine wametenguliwa kwa kusema "wizi wakura Huwa upo". Lakini Waziri wa mambo ya ndani mpaka Leo yupo, licha yanayotokea .

Halafu ushindwe kujua wasiojulikana amakweli utakua hamnazo.
 
Sasa tujadili nini kama mimi nimedili conceot wewe unajadili mifano miwili mitatu. Hiyo mifano na mimi niliitoa wakati wa kuwasilisha point yangu ya kwanza ya dhana ya utekaji na watu kuawawa. Hivi yale magenge hatari Haiti, Ecuador na Colombia ni ya serikali? Watu waliokuwa wakipiga bunduki mitaani saa 7 mchana kupora benki kama fedha za NBC Ubungo, NMB na katikati ya mitaa Samora ni polisi?

Tukiendelea kushapaza shingo kutuhumu polisi badala ya kujadili dhana ya utekaji, nature ya matukio, viashiria vya uhalifu, kwa nini yanatokea na katika mazingira gani utakuja kunielewa siku moja utakutana na tukio la kawaida kabisa mtaani ambalo halihusu polisi. 🙏🙏🙏
 
Saaa tujadili nini kama mimi nimedili conceot wewe unajadili mifano miwili mitatu. Hiyo mifano na mimi niliitoa wakati wa kuwasilisha point yangu ya kwanza ya dhana ya utekaji na watu kuawawa. Hivi yale magenge hatari Haiti, Ecuador na Colombia ni ya serikali?

Tukiendelea kushapaza shingo kutuhumu polisi badala ya kujadili dhana ya utekaji, nature ya matukoo, kwa nini yanatokea na katika mazingira gani utakuja kunielewa siku moja utakutana na tukio la kawaida kabisa mtaani ambalo halihusu polisi. 🙏🙏🙏
Raisi na Waziri wake washasema ni drama, sasa kama wao walisema ni drama. Wewe unataka kusema ni magenge?.
 
Usiombe ukaingia mikononi mwa hao wanyama
Ukishaona mtu anavuta bange na kunywa spirit alaf awe ndio mtesi wako atakua ana nyofoa meno Kama anapukuchua mahindi..

Kuna ndugu walichanganya siasa na ELIMU wakiwa shule wakatoroka wakaenda kuhudhuria "MCHAKATO WA KATIBA MPYA CHINI YA MZEE WARIOBA"

Watu wa 5 wakiwa na sare za shule na wakaomba 🎙️ wakaanza kutema madini kiasi ambacho halima mdee na baadhi ya wabunge wa chadema wakawapa zawadi

Dogo mmoja alinukuliwa akisema "" KWA KATIBA HII TULIYO NAYO AKITOKA MWENYEZI MUNGU ANAFUATA RAIS WA TANZANIA"

Pale walikuwepo watu wa usalama na walipiga PICHA na kuchukua video wale vijana walirud shule kuendelea na masomo..

Zilikuja gari za usalama wakawa na mazungumzo na mkuu kwa muda baadae ikagongwa kengere then wakaanza ku spot wale vijana

Walipelekwa kule na walirudishwa wanatambaa except dogo mmoja TU ambae kwa Sasa ni head wa vijana hapo chamani kwao huyo dogo akiulizwa ana zijua gharama za kufanya harakati ndio maana kwa Sasa ametulia KABISA.

Behind the scenes kutekwa kwa Sasa kwa watu mbali mbali nyuma kunakua na mengi tusiyo yajua

..ukiona mtu au watu wanafanya hivyo jua kwamba wana UOGA wa jinai walizofanya.

..Na jinsi wanazidiwa na uoga ndivyo wanavyozidisha ukatili.

..wanaogopa kujulikana na kupelekwa ktk vyombo vya sheria.

..Na hilo genge tusifikiri wataacha huo ukatili kwa kuwaona huruma vijana wetu.

..Mambo haya hayatakwisha bila vijana kuiondoa Ccm madarakani.
 
Hatari sana
sikilizeni huyo shuhuda.
Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho.

"Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona. Kwahiyo hile tafurani wengi wanalia wengine wanalalamika kwa sababu hili eneo kusema ukweli wangetuimarishia ulinzi, hili eneo sio mara ya kwanza mara nyingi na imeshakuwa kama dampo la kutupa watu. Shuhuda ameeleza"

"Kwa upande wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ununio Mwinijuma Shee amesema bwana mkubwa huu alitupwa siku ya tarehe 7 mwezi huu wa tisa nazani kati ya usiku mkubwa au alfajiri kwa sababu nilikuwa safarini mwenge nilipigiwa simu na mwananchi kwamba huku kuna marehemu au maiti."

"Sikuweza kurudi lakini na vijana wangu wanaweza kufuatilia masuala hayo kikubwa nikawapiga simu vijana wa polisi jamii na kuelekeza tukio lilipo na bahati nzuri wakaenda hapo wakashuhudia huyo walimkuta hawakumjuwa kwa jina wala kwa sura kuweza kumtambua kama moja ya mwananchi wetu. Lakini bahati nzuri Jeshi la Polisi nalo lilikuwa limeshafika kwahiyo Jeshi la Polisi wakaendelea kufanya kazi yao"

Mzee wa watu alipitia mateso makubwa sana.

Wahusika wanapaswa kushtakiwa.

Soma Pia:
 
Nadhani hatujaelewana. Nimejadili concept ya watu kupotea na kuuawawa. Siyo tukio la ndugu yetu Ali Kibao. Nimesema uchunguzi wa hilo utatueleza ila dhana ya watu kupotea na kufariki tuangalie kwa mapana kwa maana yanaweza kuwa na sources nyingi.🙏🙏🙏

..wanaonyooshea mkono serikali wana vigezo fulani wameviangalia vinavyowafanya waamini tukio lina mkono wa serikali.

..kwa mfano, shambulizi la Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi, yanayolindwa na serikali. Hakuna jambazi anaweza kufanya tukio ktk eneo kama lile. Hakuna mpinzani anayeweza kuamrisha walinzi wa serikali waondoke ili afanye tukio.

..Kwa hiyo wananchi huwa wanaangalia mazingira ya tukio kabla ya kutuhumu au kulaumu upande fulani.
 
Huyo Rais ndiye aliyewatuma, Ndio kiongozi wa vyombo hivyo
UNAUHAKIKA GANI KAMA NDIO KAWATUMA MBONA MAJICHUMIA ZAMBI BILA SABABU LISU YUKO WAPI SASAHIVI MBONA HAONGEI KITU KUHUSU HILI SUALA? CHUNGUZENI NA TUMESHAJUWA NA HECHE PIA
 
Msikilizeni huyo shuhuda.

Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho.

"Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona. Kwahiyo hile tafurani wengi wanalia wengine wanalalamika kwa sababu hili eneo kusema ukweli wangetuimarishia ulinzi, hili eneo sio mara ya kwanza mara nyingi na imeshakuwa kama dampo la kutupa watu. Shuhuda ameeleza"

"Kwa upande wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ununio Mwinijuma Shee amesema bwana mkubwa huu alitupwa siku ya tarehe 7 mwezi huu wa tisa nazani kati ya usiku mkubwa au alfajiri kwa sababu nilikuwa safarini mwenge nilipigiwa simu na mwananchi kwamba huku kuna marehemu au maiti."

"Sikuweza kurudi lakini na vijana wangu wanaweza kufuatilia masuala hayo kikubwa nikawapiga simu vijana wa polisi jamii na kuelekeza tukio lilipo na bahati nzuri wakaenda hapo wakashuhudia huyo walimkuta hawakumjuwa kwa jina wala kwa sura kuweza kumtambua kama moja ya mwananchi wetu. Lakini bahati nzuri Jeshi la Polisi nalo lilikuwa limeshafika kwahiyo Jeshi la Polisi wakaendelea kufanya kazi yao"

Mzee wa watu alipitia mateso makubwa sana.

Wahusika wanapaswa kushtakiwa.

Soma Pia:
Marehemu ameuawa kinyama sana katika historia ya mauaki ya wapinzani katika nchi hii, kabla yake ikikuwa Alfonsi Mawazo . Kama shida yao ilikuwaxkumtoa roho heri wangempiga risasi tu kuliko kumuua kupitia mateso hayo ya kinyama kabisa.

Siku ile Mbowe alipoueleza umma jinsi alivyouawa mimi usingizi ulikata mapema sana usiku na hadi asubuhi picha ya kifo cha kinyama cha Mzee huyu Mohamed Ali Kibao ilikuwa inanijia hadi asubuhi na sikuweza kulala tena.

Ombi langu kwa Mwenyezi Mungu awapatilize wahusika wote wa unyama huu wao na watoto wao waondoke katika ulimwengu huu kwa mateso makali kuliko haya waliyomtendea marehemu Kibao
 
Back
Top Bottom