Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

Kwanini wasianze kulala mbere na hao wasomali kwanza?
Ni wasomali wanamiliki eneo hatarishi.
Jiulize km mbongo wewe una weza kwenda Mogadishu ufanye ubwege wako.
Nyumba za Hamza hizo unafikiri watasogelea hapo?!πŸ˜†
 
Comrade, kuna mtu hapo chini amekuambia huna akili! Tafakari halafu uchukue hatua. Inawezekana akawa yuko sahihi, hata kama umetumia uhuru wako wa kutoa maoni.
Kwa hiyo comment yake huyo jamaa hana akili au atakuwa ndiye mtekaji mwenyewe
 
Na hivyo ndiyo man yofikiria kugeuzia kibao, hapo hamtoki, shame on you! Kwenye demokrasia serikali zima ingebidi ijiuzulu. We are ruled by thugs, with madame Carleone at the top. Unaagiza kuua halafu unaigiza kulia. You bastard hustlers
 
Ukatili wa aina yeyote haukubaliki.
 
wengine wanalalamika kwa sababu hili eneo kusema ukweli wangetuimarishia ulinzi, hili eneo sio mara ya kwanza mara nyingi na imeshakuwa kama dampo la kutupa watu. Shuhuda ameeleza"
 
Umeandika ujinga, mganga alisimamisha gari na kumshusha mhanga ndani ya gari?
Nimezungumza concept ndugu yangu. Kwamba tukiitumia hii kwamba kila kitu polisi tunaweza kutoa loophole kwa magenge ya kihalifu kujipenyeza. Tujadili kama taifa tuwe na uelewa wa pamoja. Ndiyo point.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Comrade, kuna mtu hapo chini amekuambia huna akili! Tafakari halafu uchukue hatua. Inawezekana akawa yuko sahihi, hata kama umetumia uhuru wako wa kutoa maoni.
Mwache ana uhuru wa kufikiri alivyofikiri. Akili ziko limited labda zake zimegonga hapo badala ya kujadili concept.πŸ™πŸ™πŸ™
 
CCM hiyo ni laana yenu nyingine.
 
..Waganga wa kienyeji hawana kawaida ya kutembea na bunduki / SMG, pamoja na pingu. Sio rahisi kueleweka ikiwa utahusisha utekwaji na mauaji ya Mzee Kibao na wahanga wa kienyeji.
Nadhani hatujaelewana. Nimejadili concept ya watu kupotea na kuuawawa. Siyo tukio la ndugu yetu Ali Kibao. Nimesema uchunguzi wa hilo utatueleza ila dhana ya watu kupotea na kufariki tuangalie kwa mapana kwa maana yanaweza kuwa na sources nyingi.πŸ™πŸ™πŸ™
 
So sad , nadhani tofauti za kisiasa au mtazamo hazitakiwi kufikia huku .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…