Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

Trick mirik

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2019
Posts
555
Reaction score
1,290
Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua" Thomas Benedicto, Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume

#PowerBreakFast

Screenshot_20220118-091035_Instagram.jpg

Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
 
Muda huo shuhuda huyo alikuwa wapi!! Huyu jamaa wala siyo mfanyabiashara ni type ya yule mwandishi aliyefariki kwenye mazishi akaagwa kijeshi anajaribu kutengeneza mazingira ya kuonyesha siyo serikali iliyohusika na uchomaji wa soko kama watu wengi walivyodai
 
mishumaa ni hatari sana imeshasababisha majanga kama hayo mengi sana. ndio maana siku hizi wenye nyumba wengi wanapiga marufuku matumizi yas mishumaa baada ya koroboi za mchina kuwa nyingi
Kwa hiyo hii habari ya mishumaa ndo imeanza awamu hii? Tena masoko kwenye majiji makubwa ndiyo yanayoungua tu? Na muda wa kuungua ni ule ule? Na yakishaungua wahusika huwa hawaruhusiwi kurudi? 🤣 🤣 🤣
 
Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu , unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua " Thomas Benedicto , Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume #PowerBreakFastView attachment 2085884
Mhhh hapa wamachinga wanapangwa, jamaa anatupiga kamba.
 
Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu , unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua " Thomas Benedicto , Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume #PowerBreakFastView attachment 2085884

Na shuhuda failed to help? Ha ha ha ha nchi ya wahuni hii!
 
"Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu , unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua " Thomas Benedicto , Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume
Bwana Thomas Benedicto, kwanza i guess sio jina lake halisi, lakini je wakati huo yeye alikuwa wapi? Yeye pia ni teja? Mateja hufanya haya kwa kujificha yeye Benedicto alikuwa amepiga pose wapi kusubiri mshumaa uwe chanzo cha moto huo? Inafikirisha kwa hakika!!!
 
Back
Top Bottom