Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 555
- 1,290
Mishumaa ni hatari sana imeshasababisha majanga kama hayo mengi sana. ndio maana siku hizi wenye nyumba wengi wanapiga marufuku matumizi ya mishumaa baada ya koroboi za mchina kuwa nyingiDuh! kwa hiyo mshumaa tu ndio ulisababisha balaa lote lile?
Hata soko la Kariakoo mateja ndio wameliunguza na mihadarati yao. Kwa mujibu wa maelezo ya awali moto ulianza kuwaka usiku wa manane, je huyo shuhuda ni kweli alikuwepo eneo la tukio huo usiku wa manane?Duh! kwa hiyo mshumaa tu ndio ulisababisha balaa lote lile?
Kwa hiyo hii habari ya mishumaa ndo imeanza awamu hii? Tena masoko kwenye majiji makubwa ndiyo yanayoungua tu? Na muda wa kuungua ni ule ule? Na yakishaungua wahusika huwa hawaruhusiwi kurudi? 🤣 🤣 🤣mishumaa ni hatari sana imeshasababisha majanga kama hayo mengi sana. ndio maana siku hizi wenye nyumba wengi wanapiga marufuku matumizi yas mishumaa baada ya koroboi za mchina kuwa nyingi
Mhhh hapa wamachinga wanapangwa, jamaa anatupiga kamba.Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu , unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua " Thomas Benedicto , Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume #PowerBreakFastView attachment 2085884
Hata soko la kariakoo mateja ndio wameliunguza na mihadarati yao.
Kwa mujibu wa maelezo ya awali moto ulianza kuwaka usiku wa manane, je huyo shuhuda ni kweli alikuwepo eneo la tukio huo usiku wa manane?
Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu , unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua " Thomas Benedicto , Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume #PowerBreakFastView attachment 2085884
Bwana Thomas Benedicto, kwanza i guess sio jina lake halisi, lakini je wakati huo yeye alikuwa wapi? Yeye pia ni teja? Mateja hufanya haya kwa kujificha yeye Benedicto alikuwa amepiga pose wapi kusubiri mshumaa uwe chanzo cha moto huo? Inafikirisha kwa hakika!!!"Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu , unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua " Thomas Benedicto , Mfanyabiashara na shuhuda wa moto soko Karume