johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ugaidi hauna chama bwashee.Kada wenu huyo
Uchunguzi utaweka bayana yote!duh ila polisi lazma kuna kitu wamemfanya huyu jamaa, kama dhulma itakuwa uonevu
Hata mjusi tuliishi naye mtaani kwetu akiwa na mavazi hayahaya ya kwetu.Hatuwezi kwepa hizi lawama.Nadhani uchunguzi hapa uanzie hapo kwenye umiliki wa hiyo Pistol,uraia wake na maisha yake kabla ya tukio,maana mapicha tayari yako mitandaoni,hii inaonyesha kuwa ni mtu tuliekuwa tunaishi naye...
Utaweka bayana kama polisi hawakuhusika. Ila kama tetesi zilizopo ni za kweli kuwa polisi walimdhulumu mshambuliaji, hatutosikia ukweli wowote zaidi ya muendelezo wa kuwa ni gaidi.Uchunguzi utaweka bayana yote!
Kwani Tanzania Polisi huwa wanawatumikia wananchi hadi uchunguzi wao utupatie ukweli?Anyway uchunguzi wa polisi utatupatia ukweli.