Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.
Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni mzoefu.
Hii taarifa ya habari ya kituo cha Diallo ndio imenichanganya zaidi lakini hata Wasafi wamemuhoji huyo kijana na stori ni hiyo hiyo.
Kilichonishangaza ni taarifa ya dada mwingine aliyedai gaidi akitokea baharini na aliwasalimia kisha ndio akawaelekea polisi na kuanza kupiga risasi.
Anyway uchunguzi wa polisi utatupatia ukweli.
Mbona una wasiwasi?!!
Mbona una wasiwasi?!!
Muanzishieni ile naniliu # siyogaidiMmemdhulumu Hamza akiwa hai katika kifo hatutawaacha
Muanzishieni ile naniliu # siyogaidi
Hahahaaaa.........!Kuwaumbua na mashuhuda wenu wa kubumba inatosha
Una swali!?Nadhani uchunguzi hapa uanzie hapo kwenye umiliki wa hiyo Pistol,uraia wake na maisha yake kabla ya tukio,maana mapicha tayari yako mitandaoni,hii inaonyesha kuwa ni mtu tuliekuwa tunaishi naye...
Unasemaaa!??Jambo zuri ni kuwa gaidi limeanguka na familia yake irudushwe kwao ikaendelee na ugaidi
Mbona kichwa cha gaidi ni kikubwa kuliko mwili?Una swali!?View attachment 1908998
Umeona sasa maana halisi ya ugaidi!! Siyo ule wa kusingizia na kuwadanganya watu wazima kama watoto!!Ugaidi hauna chama bwashee.
Haya mambo siyo ya kuyachekea ni hatari
Wewe ni kada mtiifu kwa hili sikuamini kabisaNimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho.
Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni mzoefu.
Hii taarifa ya habari ya kituo cha Diallo ndio imenichanganya zaidi lakini hata Wasafi wamemuhoji huyo kijana na stori ni hiyo hiyo.
Kilichonishangaza ni taarifa ya dada mwingine aliyedai gaidi akitokea baharini na aliwasalimia kisha ndio akawaelekea polisi na kuanza kupiga risasi.
Anyway uchunguzi wa polisi utatupatia ukweli.
Mwaka huo kitambulisho Kama hiki kinatolewa, QR code zilikuwa hazijaanza. Msilazimishe Mambo. Tafuta njia nzuri ya kusolve hili tatizo na si kwa kuongeza tatizo. Sijui kufanya hivyo mna nia gani au mnataka kusajili nini vichwani mwa watu?