Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

Uvccm wanafundishwa ugaidi?

Uvccm ndio wasiojulikana?

Je polisi na uvccm kunauhusiano?

Bado maswali nimengi

Huyu bwana anaonekana ni ccm Kwenye picha.

Ccm wanafundisha ugaidi kwa wanachama wao?

Huyu Jamaa alipata wapi na nani alimfundisha matumizi sahihi ya dhana tofautitofauti za kivita?
 
Nyie wakuda mjicheki sana kwa dhulma zenu...
Chuki mnaijenga kwetu sisi raia wa kawaida sio nzuri.
Wengine fyuzi zimekatika afu unakuta ni dreva wa fuso atakuja aingie nalo kituoni
 
Jamaa kaenda na pistol 1 yenye risasi 3 kapata SMG mbili

Ila kwa nini wamemuua wakati mashuhuda wanasema alinyosha mikono kujisalimisha
 

Hii pia si imepatikana kwa hisani ya shuhuda?

 
Nadhani uchunguzi hapa uanzie hapo kwenye umiliki wa hiyo Pistol,uraia wake na maisha yake kabla ya tukio,maana mapicha tayari yako mitandaoni,hii inaonyesha kuwa ni mtu tuliekuwa tunaishi naye...
Una swali!?
 
Ugaidi hauna chama bwashee.

Haya mambo siyo ya kuyachekea ni hatari
Umeona sasa maana halisi ya ugaidi!! Siyo ule wa kusingizia na kuwadanganya watu wazima kama watoto!!

Gaidi hana muda wa kukata miti na kuipanga barabarani!! Gaidi mara zote ni show show tu!!!
 
Wewe ni kada mtiifu kwa hili sikuamini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…