Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Ningekua na nia ya pesa nisingesema bureeee na kujua wingi wa wapiga nyeto hapana ila ukweli hata nikasema inbox naweza weka formula ila wengine isiwasaidie kwasababu si matunda yote yanaponesha MTU akija inbox ataniambia VP yeye anahisi nijue formula gan nimpe naweza eka formula ikakusaidia we mwengine ikamzuru na siwez eka aina zote za formula cm yangu inasumbua touch

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio tapeli ungeweka formular hapa.Inawezekana hutaki hela ila ukamuelekeza mtu kwenge kenge lako ama kwa mtu uli mset akanunue ingradients
 
Sasa bro weka Uzi tu mpaka inbox wengne bado wataogopa usije ukawatag hapa so bora uweke wazi kila mtu ajitibu utalipwa na Mungu kwa kuwakomboa vijana wengi walioathiriwa na hizo mambo
 
Kwa miaka Mingi nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la uume kutokuwa imara wakati wa shughuli na pia kumaliza mapema. Kwa sasa tatizo hilo limeisha kabisa kwani nakaa kifuani mpaka nachoka mwenyewe na mnara unasoma nyuzi tisini.

Nimewahi kwenda hospital moja kubwa hapa mjini nikaambiwa sababu kubwa ni msongo na kutokujiamini lakini sababu ya msongo na kutokujiamini ni kutokuwa rijali.. mwanaume huwezi ukawa usimamishi ukaacha kuwa na msongo na kutokujiamini labda kama umechagua kuwa shoga....najua wanaume mnajua ujasiri wetu upo kwenye urijali mengine mbwembwe tu.

Watu wengi wanatoa sababu ya tatizo hili ni punyeto na sababu nyingine nyingi za kutunga ila sababu kubwa niligundua ni kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye mwili unaosababisha damu kutokufika kwenye uume vizuri.


Nini hasa nimefanya na matokeo yake ni yapi. Nimeanza kutumika asali ya nyuki wakubwa kama dozi asubuhi mchana na jioni pamoja nakula matunda sana sana tikiti maji kila jioni. Kwa hakika nimepata matokeo ndani ya mwezi mmoja.

Kwani kwa sasa nasimamisha vizuri...zile style nilizokuwa nashindwa kufanya KamA Chuma mboga kwa sasa nazimudu na furaha ndani ya maisha yangu imekuja kama mnavyojua ujasiri wa mwanaume upo kwenye urijali wake.

Mbali na hayo nimepunguza ulaji wa vyakula ambavyo ni vya wanga kama mnavyojua msosi unaopatikana kwa wingi bongo asubuhi ni mkate/ chapati/ mihogo/ supu za nyama mchana/ jioni ugali/ wali/ ndizi/ chipsi.

Ratiba yangu ya msosi ni kama ifuatavyo
Asubuhi maziwa +karanga/yai kienyeji la kuchemsha/ mchana/jioni wali/dona/njegere/maharage/maini/samaki/kisamvvu bila kusahau jioni lazima nishushie glass ya maziwa. Milo yote lazima nianze kwa kula asali kidogo ndo niendelea na mlo.

Note hapa sijaanza kufanya mazoezi Kwani mazoezi yana sehemu yake pia kwenye kujenga mwili.

Sehemu ninayoendelea kuboresha ni kuweka tangawizi kwenye maziwa plus kula vitunguu saumu kwani vyote vinasaidia mzunguko wa damu.

Wewe ni unavyokula...badili namna yako ya kula uweze kupona au kuimarika uwezo wako wa kusimamia shoo.

Kitu madaktari wamejisahau kuwashahuri watu wengi ni namna bora ya kula ili kuwa na mzunguko mzuri wa damu.

Bila kusahau matumizi ya kila siku ya asali+kitunguu saumu+tangawizi+karanga+korosho yanaweza kukuponya/kupunguza athari za magonjwa kama sukari presha shinikizo la damu na mengine mengi.

Matumizi ya wanga + na nyama kwa wingi ni hatari sana kwa afya yako.
Note. Mimi sio daktari ila maarifa yanatafutwa kwa kuamua kujifunza kutoma vyanzo tofauti.
 
Back
Top Bottom