Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

[emoji3][emoji3][emoji3] waambie nina presha
 
Hongera Mzee Baba nakuongezea nondo. Asipokimbia na kuacha chupi sijui.

At least kwa wiki mara tatu, chukua maziwa blend na tende weka na asali kijiko kimoja. Tende ina vitamin nyingi sanaaa hasa potassium ambayo inaongeza stamina.

Na masaa machache kabla ya game blend kipande cha tikiti..mix na tangawizi mbichi ambayo umesha itwangwa huo mchanganyiko usiweke maji wala sikari, kunywa.

NB: Ninefanya haya mambo ndani ya wiki moja kabla sijakutana na mrembo, baada ya game amenisifia balaaaa.
 
Maziwa ya huku mjini wanatia maji mno! Hivyo hayana maajabu
 
Kwa kweli mtu anayekula vitunguu swaumu akae mbali na mimi maana naweza mzaba ngumi ya mdomo akadondoka huko.
Ili kuepuka harufu yake kinywani unaweza kuvimenya na kukatakata vipande vidogodogo unamezea maji kwa wingi. Bila shaka hutosikia harufu yake kabisa. Binafsi huwa nafanya hivyo.
 


Vyakula vinavyoimarisha nguvu za kiume
 
Mkuu maziwa ya Tanga Fresh au maziwa haya ya kawaida ya ng'ombe? Kwaio wale wanaouza ule mchanganyiko wao wa vitu vya lita moja kwa elfu 50,000 unawashauri vipi mkuu
Sitaki zungumzia biashara za watu mkuu. We fanyia kazi ujumbe.
 
Basi katafute madawa ya wafanyabishara watakusaidia mkuu. M nimeleta ushuhuda tu kwa ajili ya kuwasaidia wanaohitaji siyo wewe.
 
Mkuu, nadhani uzi wako kama vijana wengi wakiupitia na kuyafanya yote uliyoyaainisha hapo basi watabadiri mitazamo yao hasi ya kwenda kwa sangoma.
Kweli kabisa mkuu; unaweza kufikiri umelogwa na kutengezneza visingizio kibao kumbe wewe ni jinsi unavyokula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…