Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Jamani mambo ya kupungukiwa hormones si kwa wanaume tu, hata kwa wanawake yapo sana tu, ni vile sie hatuna kitu kinachotakiwa kusimama sijui nini, ni vizuri kufanya check up ya hivi vitu kwa kweli.
 
LiverpoolFC,

Nakubali kabisa watu wana madawa wala sibishi. Mimi nimeeleza uzoefu wangu na nimeamua kuwashirikisha wadua. Nikiandika hapa kila kitu unaweza amua kupitisha mchango ili angalua kunipa pole kwa jinsi nilivosumbuka. Nnachojua kwa ufupi hakuna dawa sijala ndugu yangu. Nnampnago wa kufanya checkup nione athari za hizi pumba za miti nilizokula.
Una Bahati Kuna dawa moja hukuitumia: kunywa Mkojo wako kila siku Asubuhi!
 
Ndugu Zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu.

Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika. Kabla ya kuja jamvini nilikuwa nimetembea kwa waganga wengi mnoooo. Nilikula dawa zao za kutosha. Nilienda Mwanza, Arusha, Mbeya, Kenya, DSM, Dom na kwingine kwengi tu. Sikupata hata nafuu kidogo
 
Ndugu Zangu wanaJF poleni na Mihangaiko ya kila mara na haya na yale yanayoendelea humu kwetu. ni upepo utapita tu.

Mwaka jana nilipost humu jamvini thread kuomba msaada wa tiba ya nguvu za kiume. Kwa kweli ni tatizo lililonisumbua kwa muda mrefu. Sikuwa naweza hata kusimamisha kwa dakika. Kabla ya kuja jamvini nilikuwa nimetembea kwa waganga wengi mnoooo. Nilikula dawa zao za kutosha. Nilienda Mwanza, Arusha, Mbeya, Kenya, DSM, Dom na kwingine kwengi tu. Sikupata hata nafuu kidogo
 
Kha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!
Sasa mbona nimeongea na MziziMkavu na kasema ya kwmb haujawahi kumpa habari yako kama ulivyosema? mudushi; Watu wana madawa wewe!
Sasa mbona hyo MziziMkavu amevunja duty of confidentiality to the client? wa kuinquire na wewe hapo jombaa, kweli ni Dr... au Mganga huyo, au Uganga hauna ethics nini?
 
Last edited by a moderator:
Mtembo,

Nenda hospitali ukapime kwanza ili upate tiba.
Nimekutumia kontakts za daktari aliyenitibu. wasiliana naye.
kaka Mdushi tatizo langu linafanana sana na ulilokuwa nalo. Naomba unipatie majina ya hizo dawa za upungufu wa testosterone. Utakuwa msaada mkubwa kwangu. Naomba utumbe kwa sms kama hutojali. 0767151519. Asante.
 
Mtembo,

Nenda hospitali ukapime kwanza ili upate tiba.
Nimekutumia kontakts za daktari aliyenitibu. wasiliana naye.

Kaka mudushi naomba namimi pia unisaidie contacts za huyo Personal Dr wako,ninatatizo hilohilo pia
 
Mkuu LiverpoolFC Atafikaje kwangu huyu mudushi wakati alikuwa na matatizo ya (hormones mwilini) yeye akawa anakwenda kwa waganga kujitibu nguvu za kiume?.@mudushi Wanaokuja kwangu wanakuwa

wamesha kwenda mpaka hospitali kuangalia na inakuwa huko Hospitali imeshindikana ndio

wanakuja kwangu mimi mtu akini P.M. Au kunitumia Barua ya Email jambo la kwangu huwa namrudisha

Hospitali aende kuangalia je Anayo matatizo mwilini mwake?akisha rudi hospitali na kumuangalia kuwa hana

matatizo ndio mimi huwa ninamtibu Matatizo ya Ukosefu wa nguvu za kiume.

Mambo yanayochangia upungufu wa nguvu za kiume.


Msongo wa mawazo:
Ni dhahiri kuwa akili na tendo la ngono vinategemeana sana. Inajitokeza mara nyingi sana kwa watu wenye matatizo katika biashara, kazini na sehemu nyingine hujikuta hawako katika hali ya kuwa na hamu ya tendo la ndoa mpaka pale watakapotulia. Hii inaweza kuwapata watu wa rika zote na tatizo hili linaweza kuisha haraka kutegemeana na shughuli zao zinavyorudi katika hali ya kawaida

Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu

. Mzunguko wa damu mwilini una maana sana kwani kama damu haizunguki vizuri itachangia uume kutosimama vizuri kwa sababu usimamaji hutegemea kiasi na kasi ya damu inayoingia kwenye mishipa ya sehemu hiyo. Dawa zinazotumika kutibu shinikizo la damu huchangia pia kupungua kwa nguvu za kiume.

Unywaji pombe kupita kiasi:

Pombe inaweza kuathiri mishipa ya damu na mishipa ya fahamu kwa wakati mmoja. Wakati mwingine mtu akilewa sana huathiri ubongo na kukata mawasiliano kisaikologia na hivyo kushindwa kuwa katika hali ya kuwa na hamu ya ngono na hivyo kutosimamisha.

Unene.

Unene huwa unaambatana na mafuta mengi mwilini. Mafuta hayo wakati mwengine huzidi kwenye kuta za ndani za mishipa ya damu na hivyo kupunguza ukubwa wa mrija kiasi kwamba damu inipita kidogo na kwa shida. Hii huchangia kupungua kwa nguvu za kiume kwa sababu kiasi cha damu kinachotakiwa kisimamisha uume kitakuwa kidogo sana. Wakati mwingi uume unaweza kusimama kidogo na kulala kabla shughuli haijakamilika.

Kutokufanya mazoezi:
Tusipofanya mazoiezi pia mzonguko wa damu kutokuwa mzuri na hivyo kutoparuhusu damu ya kutosha kusimamisha uume. Kwa watu wanaotembelea magari na shughuli za kukuaa maofisini mda mrefu na hasa kama hawafanyi mazoezi asubuhi au jioni wako kwenye hatari zaidi kuliko watu wanotembea kwa miguu mwendo mrefu na kufanya kazi ngumu za kuuchosha mwili.

Matatizo ya kisukari:

Kisukari ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kufanya mishipa ya damu kutofanya kazi yake viuri ili kuruhusu damu kujaa kwenye uume. Hii himfanya mgonjwa wa kisukari kushindwa kusimamisha hata kama ana hamu ya kufaya tendo hilo.

Umri:

Inaelezwa kuwa kadri umri unavyopanda ndio uwezo wa nguvu za kiume utaendelea kupungua. Baadhi ya watu huanza kuona tatizo hili wanapofikia umri wa miaka 40 na kuendelea na hasa kama maisha yao hayakuwa na mazoezi ya mwili. Sababu nyingine ni kama utumiaji madawa ya kulevya, kuumia katika uti wa

mgogongo, uvutaji sigara nk. Sababu nyingi zinachangia kupungua kwa nguvu za kiume zinaepukika kwa hiyo tunashauriwa kuwasiliana na wataalamu ili kujifunza jinsi ya kujikinga au kutibu matatizo hayo.


Dawa za Nguvu za Kiume kwa anayetaka! Bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html




chanzo:MziziMkavu wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com


Umesahau Moja: PUNYETO KWA WANAUME linachangia sana kuua mishipa ya uume na huchangia jogoo kulala kakunja shingo kwapani.
 
Vijana wengi saana nimewasiliana nao na waliahidi kuleta mrejesho. sasa fanyeni ivo basi.
 
Jibu pekee ni mazoezi wakubwa, tunakaa kizembe sana mpaka damu inaganda, hebu changamsheni damu hizo muondoe aibu. Jitahidi kila siku ufanye zoezi (cardiac exercise)kufanya mzungumko wa damu uwe mkubwa na mishipa iweze kufikisha damu kwenye uume kwa wingi. Pia itasaidia kuupa joto mwili wako muda mrefu sio ukiguswa wabaridiii lazima captain agome.
 
Back
Top Bottom