Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Mliotumia toeni ushuhuda ili nasi tuhamasike!! Mdalasini na asali vimegonga mwamba kwangu
 
Safi sana mkuu kwa ushuuda naomba nikazie mimi hua nasikitika sana watu wanavyopotoshana eti upunguvu wa nguvu za kiume ni ugonjwa si kweli kwa lugha nyepesi tu hata kama hujaenda shule huo ni ukosefu wa vyakula vya kuleta nguvu vyakula hivyo ni vipi.

Mababu zetu walikua hawana hili tatizo,kwa nini ,kwa sababu walikua wanakula vitu vya asili na hasa vya mizizi sasa sisi unakula kila kitu from industrie unategemea nini.

Nilikua siwezi udindisha hata k ikiwa mbele yangu baada ya kupata lishe sasa naenda hadi goli sita natumia tangawizi na matunda mchanganyiko hizi take away kila baada ya siku mbili au moja kama lishe ya kawaida sasa mambo ni safi msikimbilie kula madawa tu.
 
Sokwe,

Vipi baada ya matibabu kuna chochote? Je na wewe ulisumbuka km mm? Kikombe cha Babu ulikunywa?

mudushi

Hapana mkuu sikunywa kikombe na wala sikuenda kwa mganga wa kienyeji, nilikuwa na hidden infection ambayo nilitibiwa mambo yakarudi kawaida.
 
hili tatizo ni kubwa wajamen,na usijidanganye kutumia viagra.ndo utazima jumla
 
mudushi,
MziziMkavu ni miongoni mwa waganga maarufu hapa jf na ana uzi wake hapo juu anauza dawa za nguvu za kiume kwa USD...dawa zake uli zijaribu?
 
Last edited by a moderator:
Mliotumia Tiba Kupitia Kwa Dokta Wa Huyu Jamaa Mtupe Feedback
 
Safi sana mkuu kwa ushuuda naomba nikazie mimi hua nasikitika sana watu wanavyopotoshana eti upunguvu wa nguvu za kiume ni ugonjwa; si kweli kwa lugha nyepesi tu hata kama hujaenda shule huo ni ukosefu wa vyakula vya kuleta nguvu vyakula hivyo ni vipi mababu zetu walikua hawana hili tatizo, kwa nini, kwa sababu walikua wanakula vitu vya asili na hasa vya mizizi sasa sisi unakula kila kitu from industries unategemea nini.

Nilikua siwezi udindisha hata k ikiwa mbele yangu baada ya kupata lishe sasa naenda hadi goli sita
natumia tangawizi na matunda mchanganyiko hizi take away kila baada ya siku mbili au moja kama lishe ya kawaida sasa mambo ni safi msikimbilie kula madawa tu

Mkuu naomba uniambie hiyo tangawizi unaitumiaje? kwenye chai au? nahis uwezo wangu mdogo baada ya gol la kwanza nachelewa sana kurudia tendo!
 
Tumia juice ya alovera nayo inatibu magonjwa hayo
 
mkuu naomba uniambie hiyo tangawizi unaitumiaje? kwenye chai au? nahis uwezo wangu mdogo baada ya gol la kwanza nachelewa sana kurudia tendo!

saga na kisagio cha karoti au brenda au hata kwenye kinu kisha changanyana maji kidogo isipoteze rangi yake iwe na ukijani wa kutosha .kikombe cha rob au zaidi ni vizuri kisha kunywa
 
saga na kisagio cha karoti au brenda au hata kwenye kinu kisha changanyana maji kidogo isipoteze rangi yake iwe na ukijani wa kutosha .kikombe cha rob au zaidi ni vizuri kisha kunywa

Dozi yake ni mara ngapi kwa siku?
 
Mliotumia tiba za huyo doctor wa muhimbili leteni mrejesho please...!
 
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kushindwa kusimamisha uume vya kutosha kuweza kujamiiana. Anaweza kushindwa kusimamisha kabisa au akashindwa kumaintain uume kusimama wakati wa kujamiiana. Hujulikana kama 'erectile dysfunction' au 'impotence' kwa kiingereza. Hili ni tatazo ambalo linashika kasi na likitokea zaidi kwa wanaume wenye umri mdogo zaidi. Amini usiamini kila siku inbox yangu inajaa na maswali kuhusu upungufu wa nguvu za kiume na inaonekana wanandoa wengi wameathirika kiasi chakuwa wanaume wamekosa amani katika ndoa zao.

CHANZO
Upungufu wa nguvu za kiume unaoambatana na kupungua hamu ya mapenzi:

- Upungufu wa homoni za kiume
- Msongo wa mawazo (Stress)
- Ukatili wa kimapenzi (Mpango wa kando)
- Ugomvi kila mara baina ya wana-ndoa na hii huchangia pakubwa sana kwa tatizo hili

Upungufu wa nguvu peke yake:

- Kisukari
- Shinikizo la damu la kupanda
- Magonjwa ya mishipa ya damu (Multiple sclerosis)
- Baadhi za dawa za hospitali
- Upasuaji kwenye nyonga
- Ajali; kuvunjika nyonga, uti wa mgongo na kuumia uume
- Ushirikina

TABIA HATARISHI ZINAZOSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tabia hatarishi zifuatazo zinachangia kutokea kwa tatizo hili kwa wanume:

- Kutofanya mazoezi ya mwili.
- Uvutaji wa sigara na tumbaku
- Unywaji sana wa pombe
- Kula vyakula visivyo na virutubisho kama nafaka ziliokobolewa, vyakula vyenye mafuta kwa wingi, kiasi kidogo cha mboga za majani na matunda kwenye mlo.
- Uzito wa kupitiliza (overweight).

Kupunguza au kuacha tabia hizi itasaidia kutibu tatizo hili kama unalo au kupunguza uwezekano wa kujitokeza.

MATIBABU
Kiasi kikubwa cha tatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume linatibika. Matibabu yanaelekezwa kutibu sababu inayoleta tatizo hili. Matatizo ya kisaikolojia kama msongo wa mawazo yanaweza kutibiwa kwa ushauri nasaha na wataalamu wa afya. Mara nyingi dawa za uhakika huwa bei yake ni ya juu. Njia nyingine za matibabau ni:

- Dawa (za Hospitali au za Asili zaweza kutumika)
- Vacuum pumps (Njia ya Hospitali)
- Ikiwa sababu nikutokamana na ushirikina tafuta shekhe akusomee ruq'ya
- Mabadiliko katika lishe: kupata lishe bora kutoka kwenye mlo unaotokana na nafaka zisizokobolewa, ulaji wa Karanga na Nuts nyingine, Mboga za majani na Matunda kwa wingi. Vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume ni kama Almonds, Tikiti maji, Blueberry, Mtini (Figs), Chaza/Kombe wabichi (Raw Oysters), Vitunguu saumu, Ndizi, Chocolate n.k

Ni vizuri kula kwa kiasi kabla ya kufanya mapenzi, hasa wakati wa usiku kabla ya kwenda kulala. Kuvimbiwa husababisha mwili kufanya kazi ya ziada ya kumeng?enya chakula hivyo kuingiwa na uchovu, uvivu na kunyong?onyea. Hii husabisha kukosa usingizi na kupungua kwa umahiri wako katika kufanya shughuli nyingi zinazohitaji nguvu, ikiwemo mapenzi, kwa ufasaha.

Usije kumtafuta mchawi wakati wewe ndio unajiroga, kuwa makini.

Kama ilivyo ada kwenye mambo mengi ya kiafya, hakuna muarobaini. Ni vizuri ukajaribu kubadilisha chakula unachokula, fanya mazoezi mara kwa mara ili kupata mwili wenye nguvu (Kama dakika 30 kila siku).

JE! UNA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?

Kama una tatizo hili na umeshindwa kulipatia ufumbuzi baada ya kujaribu madawa mingi, wasiliana nasi.

Tuma ujumbe kupitia 'whatsApp' au piga simu kwenye nambari zifuatazo: +255-714-206-306
 
Mudushi tafadhari naomba unitumie namba za huyo dakatri anaonekana ni bingwaa wa hiz mambo maaana nilienda pale rufaa mbeya hawajui.lolote..
 
Mkuu
hilo ni janga kubwa especially for men of 35 yrs and above ila wengi hawawezi kuconfess ukweli wanabaki wanajitutumua mara konyagi mara mihogo mibichi basi tu ilimradi
kwa msaada wa wale wenye aibu ya kuku pm ungewaambia hizo testorene energizer ulizotumia zinaitwaje watu wanusuru ndoa

Kwanini age hiyo inasumbuliwa na hilo tatizo??
 
Back
Top Bottom