chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Tatizo sio kila mtu ni mtu wa mazoezi....mie kukimbia sipendi na huwa sikimbii,kutembea umbali mrefu ndio nilishashindwa
Kiufupi siwezi mazoezi
Nafikiri watu wanene wazingatie vyakula,japo kuna wale wanene wa kurithi
Hata kama sio wa mazoez jitahid ufanye kama una jali afya yako, jilazimishe.
Sawa sawa una umwa alafu hunywi dawa,
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tukilala always tunalinganaAahahahahaaa kumbe tunalingana urefu tukikaa....
Tukilala always tunalingana
Ngoja niyafafuteKeengeeh weeh, msimu wa mabungo umeanza ujue... Jana niliyaona uhindini.
Ngoja niyafafute
Nimetumia seed... zilikua zinaniongezea appetite nikawa nakula ovyo kama mjamzitoZimesaidia wangapi? Tupate shuhuda
Mimi apa agataAnayetaka kupungua aje kukaa na Mimi!! wiki tu atanyooka.
AsanteIli kupungua uzito inatakiwa uwe na commitment ya hali ya juu kwenye upande wa mazoezi na lishe. Binafsi huwa nafanya mazoezi na kufuata lishe kwa kuacha sukari na wanga. Huwa napungua sana uzito lakini nikiacha hayo uzito unarudi pale pale. [emoji28]
Sent from my iPhone using JamiiForums
ingekuwa vema mkuu ungetuambia na aina ya vyakula au ratiba yako ya kulaIli kupungua uzito inatakiwa uwe na commitment ya hali ya juu kwenye upande wa mazoezi na lishe. Binafsi huwa nafanya mazoezi na kufuata lishe kwa kuacha sukari na wanga. Huwa napungua sana uzito lakini nikiacha hayo uzito unarudi pale pale. [emoji28]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu nilitumia wastani wa miezi kumi na moja toka nilivyoanza mazoezi mpaka kuja kufikia uzito huo.Ulitumia muda gani kupungua almost 21 kg?