Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala haijamezwa, mwili wangu sio wa uzembe, ni wa kimazoezi.
Wala haijamezwa, mwili wangu sio wa uzembe, ni wa kimazoezi.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mkuu BMI inatumika vipi nielekeze niefahamu kidogoLeo nimecheki BMI bado nasomeka niko overweight inasoma 29. Inabidi nipunguze uzito hadi kgs 72. Duuh!
Jitihada inahitajika from 79 - 72 kupunguza kilo 7.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Jambo pekee linalonisaidia ni kula pale ninapojisikia njaa tu.Ili kupungua uzito inatakiwa uwe na commitment ya hali ya juu kwenye upande wa mazoezi na lishe. Binafsi huwa nafanya mazoezi na kufuata lishe kwa kuacha sukari na wanga. Huwa napungua sana uzito lakini nikiacha hayo uzito unarudi pale pale. [emoji28]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ishu ni kula unspojisikia njaa tu.Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio.
Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia, lishe kwa wote waliofanikiwa kupunguza uzito kwa kutegemea lishe na mazoezi,
Hii itaongeza hamasa kwa kila aliye na matarijio ya kudhibiti uzito.
Karibuni
kipara cha urithi hakiondokiMkuu na kipara cha urithi kinaweza kuondoka kama unavyoondoka unene wa urithi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kiufupi BMI (Body Max Index) Ni kipimo ambacho kinatoa mlingano baina ya uzito wa mtu kwa urefu wake, ambapo uzito katika SI unit yoyote itakayokuwa lakini urefu uwe square.
Hakuna haja ya kudownload, hata online vipo search BMI, utakuta kuna sehemu ya kuingiza urefu wako, na sehemu ya kuingiza uzito na kuna sehemu ya matokeoDah nimetoka kapa.
Sijaelewa mkuu.
Nielekeze namna ya kutumia baada ya kudownload
Sent using Jamii Forums mobile app
Pima uzito wako katika kg na urefu wako kwa cmDah nimetoka kapa.
Sijaelewa mkuu.
Nielekeze namna ya kutumia baada ya kudownload
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina urefu wa sentimita 167 uzito wangu ni 70 kg najiona mzito sana . Je nifanyaje nipungue nashindwa sana sana kufanya mazoezi deily.
Kazi yangu ni inajumuisha mazoezi ila ni ya vipindi, nina tatizo la kiafy ambalo linanipelekea kutamani kula kula mda wote nisaidiie nitumie sms PM unisaidie jambo plz.
Kazi yangu ni inajumuisha mazoezi ila ni ya vipindi, nina tatizo la kiafy ambalo linanipelekea kutamani kula kula mda wote nisaidiie nitumie sms PM unisaidie jambo plz.