Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Habarin Wadau, kufuatia ukuwaji wa sayansi na teknolojia ktk sekta ya mawasiliano kumepelekea ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii including JF. Mitandao ya kijamii ni platform kukutana na watu mbali mbali na kutengeneza mahusiano, urafiki, biashara n.k.

Je tangu Umeanza kutumia JF Je umewahi kukutana na mtu yeyote na kutengeneza?

A. Urafiki
B. Mahusiano ya kimapenzi
C. Fursa mbalimbali e.g kimasomo, biashara, ajira
 
Kwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.

Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee
 
Kwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.

Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee
Hapana mdau, iv ukiandika barua then heading uka bold mean unamfokea msomaji ? Assume barua ni ya kuomba kazi au una request kitu kwa head wako kazin .... Bolding does not mean commanding language
 
Back
Top Bottom