luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Habarin Wadau, kufuatia ukuwaji wa sayansi na teknolojia ktk sekta ya mawasiliano kumepelekea ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii including JF. Mitandao ya kijamii ni platform kukutana na watu mbali mbali na kutengeneza mahusiano, urafiki, biashara n.k.
Je tangu Umeanza kutumia JF Je umewahi kukutana na mtu yeyote na kutengeneza?
A. Urafiki
B. Mahusiano ya kimapenzi
C. Fursa mbalimbali e.g kimasomo, biashara, ajira
Je tangu Umeanza kutumia JF Je umewahi kukutana na mtu yeyote na kutengeneza?
A. Urafiki
B. Mahusiano ya kimapenzi
C. Fursa mbalimbali e.g kimasomo, biashara, ajira