luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hapana mdau, iv ukiandika barua then heading uka bold mean unamfokea msomaji ? Assume barua ni ya kuomba kazi au una request kitu kwa head wako kazin .... Bolding does not mean commanding languageKwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.
Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee
Sasa hii ulitakiwa uionganishe kwenye uzi wako pale ingeleta muendelezo mzuri mkuu.Binafsi nimeshakutana na mtu mmoja ambapo tumesaidia ktk kubadilishana na kushauriana mambo ya maisha. Hatuna mahusiano ya kimapenzi ni urafiki tu. So far simuoni JF lkn ni mdada flan mstarabu sana aisee
fyddell
Hapana mdau, iv ukiandika barua then heading uka bold mean unamfokea msomaji ? Assume barua ni ya kuomba kazi au una request kitu kwa head wako kazin .... Bolding does not mean command language.
[QUOTE\]
Ukibold maana ake unainsist watu wafuate kile ulichokisema
Na unahabari umeziumiza mbavu zangu🤣🤣🤣🤣eti unatufokea😂😂Kwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.
Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee
Nje ya Jf yanatokea mengi, mengine sio ya kuyaanika hapa.😁😁What happened outside JF.. stay outside JF
Kwa urafiki na mambo ya corperate well and good thumb up chiefMpaka sasa wanafika 200+ kwenye nyanja zote hizo
Yap sababu maisha ni mzunguko wa vitu vingiNje ya Jf yanatokea mengi, mengine sio ya kuyaanika hapa.😁😁
Uko sahihi..haya wacha wadau watiririkeYap sababu maisha ni mzunguko wa vitu vingi
Unamjuaje kuwa ni mdada Wa sifa hizo ilhali anatumia utambulisho usio halisi , fake id ?Binafsi nimeshakutana na mtu mmoja ambapo tumesaidia ktk kubadilishana na kushauriana mambo ya maisha. Hatuna mahusiano ya kimapenzi ni urafiki tu. So far simuoni JF lkn ni mdada flan mstarabu sana aisee
fyddell