Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Hahaa msikilize mwenzio tafadhali ...na wewe amu watu wazima kama hawa huwa wakikubali jambo kwa issue kama hiyo huwa hawaitikii ndio nimekubali hapa mbele ya hadhira ... Wewe mfuate Pm mkayajenge then thanks me later
Sheikh vipi tena?? Umemkomalia amu Naona
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hana utoto ni mtu mzima ana biashara zake na huwa tuna badilishana pia mawazo ktk maswala ya kilimo,... Recently hakuwa na smartphone nahis ni moja kati vitu vinavyo mfanya asitumie JF ....
Samahani mkuu....
Hivi mtu mwenye biashara zake, anaweza akakosa sim janja kweli...[emoji849][emoji849]
Ahhh, nimeuliza tu
 
Tena sheria iwe kali.mambo gani yakuja kuanikana huku sasa
Hizo sheria zitasaidia nini? Just imagine fala mmoja anakuanika then anakula ban ya maisha. Kesho kutwa anakuja na ID mpya kuaendeleza utopolo wake nini kitakuwa kimesolviwa hapo!!

Cha muhimu ni wewe mwenyewe kuangalia aina ya watu/ID unazo hang out nazo
 
🤯🤯🤯🤯
Unaweza pia kuchagua baadhi ya watu lakini pia wakakuangusha.moyo wa mtu kichaka.

Cha msingi ni kuwa wewe kama wewe na kuruhu watu wasikuelewe..yani usieleweke katka baadhi ya mambo.

Unawaacha na mvurugano vichwani huko huku wewe unajua ufanyacho.
 
Samahani mkuu....
Hivi mtu mwenye biashara zake, anaweza akakosa sim janja kweli...[emoji849][emoji849]
Ahhh, nimeuliza tu
😀😀😀 Mimi sijui labda ww unajua ? au ww umekariri biashara za mitandao ?
 
Hizo sheria zitasaidia nini? Just imagine fala mmoja anakuanika then anakula ban ya maisha. Kesho kutwa anakuja na ID mpya kuaendeleza utopolo wake nini kitakuwa kimesolviwa hapo!!

Cha muhimu ni wewe mwenyewe kuangalia aina ya watu/ID unazo hang out nazo

Unajua hata sheria za hukumu ya kunyongwa zipo na hazijakomesha uhalifu bado, ila zinapunguza wale waoga na wanaojitambua kidogo kujiingiza kwenye uhalifu usio na ulazima.

Kwa sie wengine kuwa na ID zaidi ya moja ni utumwa. Sheria kali zitasaidia uzi kufutwa na adhabu juu. Haitamaliza tatizo ila itapunguza upuuzi.

Hicho ulichosisitiza cha kuwa makini ndio muhimu zaidi, kuna watu hauwezi kuwazuia kufanya mambo, watakuanika hata PM ilimradi wakuharibie tu.
 
Tena hii inabidi iongezwe kwenye kanuni na masharti ya JF, ni marufuku na kosa la jinai kujimwambafy unafahamiana na member wa JF.

Kama nna shida na mtu tutatafutana tuyajenge lakini sio kuweka hapa hadharani.

Kwa kumsaidia tu mleta uzi, hawa watu tulionao JF ndio hao hao tuko nao mtaani.
Kuna waungwana, wafanya biashara, matapeli, wenye kujitambua, mateja, watoto, wazee yani kila kaliba.

Namaanisha ni kisima chenye kila kitu unaweza kupata msaada au kujifunza mambo ya muhimu yakakusaidia maishani.
kweli kabisa
kwa hii Busara Mimi nataka nikuone wewe.
 
Back
Top Bottom