Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

nimekutana nao Ila why telling the mass?

Tena hii inabidi iongezwe kwenye kanuni na masharti ya JF, ni marufuku na kosa la jinai kujimwambafy unafahamiana na member wa JF.

Kama nna shida na mtu tutatafutana tuyajenge lakini sio kuweka hapa hadharani.

Kwa kumsaidia tu mleta uzi, hawa watu tulionao JF ndio hao hao tuko nao mtaani.
Kuna waungwana, wafanya biashara, matapeli, wenye kujitambua, mateja, watoto, wazee yani kila kaliba.

Namaanisha JF ni kisima chenye kila kitu unaweza kupata msaada au kujifunza mambo ya muhimu yakakusaidia maishani.
 
Sio
Binafsi nimeshakutana na mtu mmoja ambapo tumesaidia ktk kubadilishana na kushauriana mambo ya maisha. Hatuna mahusiano ya kimapenzi ni urafiki tu. So far simuoni JF lkn ni mdada flan mstarabu sana aisee
fyddell
Umuoni JF kakimbia ID baada yakuona kuna mtu anamjua physical uhuru wa kujiachia na privacy haipo sasa anakuchora wewe tu unayoyaandika wewe humjui.
 
Ktk huu UZI lengo sio kujigamba kwamba labda umeonana na flan bin flan not the case, .. intention ni kushare kqmanuliwah kupat rafiki (sio kumtaja) au jamaa , mkasaidia in one way or another (if U think U can share not a commnad) kupitia JF kuna watu mfano ktk jukwaa la matibabu kule wana share aina za magonjwa na matibabu na unakuta mtu kweli anasaidiwa majina ya madawa ya matibabu ya maradhi hayo (hasa hasa madawa ya asili)

Sasa si ndio maana nimeandika hii JF ni kama uraiani tu, tena umetolea mfano mzuri kabisa, mtu akiwa na tatizo anaandika uzi watu wanachangia kadri ya uelewa wao. Na wengine wanaandika jinsi walivyonufaika kupitia JF.

Hauoni kwa hii thread wenye uelewa wa shake well before use wanaweza kufunguka zaidi wakaenda mbali hadi kutaja watu kwa ID zao?
 
Sio

Umuoni JF kakimbia ID baada yakuona kuna mtu anamjua physical uhuru wa kujiachia na privacy haipo sasa anakuchora wewe tu unayoyaandika wewe humjui.
Hana utoto ni mtu mzima ana biashara zake na huwa tuna badilishana pia mawazo ktk maswala ya kilimo,... Recently hakuwa na smartphone nahis ni moja kati vitu vinavyo mfanya asitumie JF ....
 
Tena hii inabidi iongezwe kwenye kanuni na masharti ya JF, ni marufuku na kosa la jinai kujimwambafy unafahamiana na member wa JF.

Kama nna shida na mtu tutatafutana tuyajenge lakini sio kuweka hapa hadharani.

Kwa kumsaidia tu mleta uzi, hawa watu tulionao JF ndio hao hao tuko nao mtaani.
Kuna waungwana, wafanya biashara, matapeli, wenye kujitambua, mateja, watoto, wazee yani kila kaliba.

Namaanisha ni kisima chenye kila kitu unaweza kupata msaada au kujifunza mambo ya muhimu yakakusaidia maishani.
Tena sheria iwe kali.mambo gani yakuja kuanikana huku sasa
 
Back
Top Bottom