The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
nimekutana nao Ila why telling the mass?
Tena hii inabidi iongezwe kwenye kanuni na masharti ya JF, ni marufuku na kosa la jinai kujimwambafy unafahamiana na member wa JF.
Kama nna shida na mtu tutatafutana tuyajenge lakini sio kuweka hapa hadharani.
Kwa kumsaidia tu mleta uzi, hawa watu tulionao JF ndio hao hao tuko nao mtaani.
Kuna waungwana, wafanya biashara, matapeli, wenye kujitambua, mateja, watoto, wazee yani kila kaliba.
Namaanisha JF ni kisima chenye kila kitu unaweza kupata msaada au kujifunza mambo ya muhimu yakakusaidia maishani.