Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

Umesoma hukumu lakini?? Na gonorea watoto wametoa wapi???

Na kumbuka kuwa those day huyo wanaosema ametengeneza kesi hakuwa na cheo cha kufanya atakalo. Ingekuwa ni mtoto mmoja mimi ningesema amefundishwa lakini watoto 10. Na wanaomtetea wengine mnasema ooh nimesoma na mwanae namjua vizuri. Hivi kweli waweza kumjua mtu mwenye huwezo wa kubaka na asiye nao au mpaka abake. Kuna wazazi wanabaka watoto wao na ni wazazi wa heshima kuna ambaye aliweza ku predict?? Na mahakama si kama movie za kanumba mahakimu na ma advocate wana huwezo wa kuhoji kiasi kuwa ni ngumu kwa watoto kustick kwenye uongo waliofundishwa. Hata advocate wa watuhumiwa sidhani kama aliappeal basing on watoto kufundishwa but other technical things. Soma hukumu kwanza usitetee kwa kututumia ushaidi wa vijiweni.

Na hao waliowakaririsha watoto mistrari ndio waliowaigilia hadi kinyume na maumbile au walipata wapi watoto walioharibiwa??

Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.

Halafu cha kushangaza sijui ni kwanini uvumi wa kuwa babu seya alibambikiwa ile kesi uliinea sana mpaka ukaonekana ni ukweli.........hawa wangewaona wale watoto walivyooza kule chini wasingemuonea huruma babu seya........halafu wote wanaosema kabambikiwa kesi vyao vyao vya habari ni magazeti na umbea wa mtaani.....watanzania tuache mambo ya kuamini habari za kupikwa....babu seya ni mbakaji na kama alichomekewa basi kuwa adui yake alimbana kwenye udhaifu wake.

Hata mimi leo nikijua kuwa adui yangu mkubwa ni jambazi lililokubuhu, lazima nimchomekee tu, sasa hapo mtu akishikwa na kupigwa miaka 30 jela watu wataanza oooh, jamaa kambambikia kesi wakati nilichofanya ni kumripoti kwa uhalifu ambao ni kweli anaufanya.

Ubakaji wa watoto ni ukatili usiostahili kuvumiliwa kwa namna yeyote ile.

Eeeeh, binadam wacheni kutetea madhambi, mpaka vcd zililetwa kama ushahidi usiopingika, ngoja siku zi leak ndio mtajua kuwa hawa watu si wakuonewa huruma hata kidogo.

Eeeeh, binadam wacheni kutetea madhambi, mpaka vcd zililetwa kama ushahidi usiopingika, ngoja siku zi leak ndio mtajua kuwa hawa watu si wakuonewa huruma hata kidogo.
faizafox unadhani kuna mtu duniani anaependa uharibifu? Hata jambazi anawachukia majambazi ikitokea huwa wa kwanza kwenda kushtaki.ninachotaka kusema hapa ni kweli wabakaji hawafai tena ikiwezekana wanapopatikana na hatia basi wapewe adhabu kali zaidi ya hiyo.faiza f embu naomba unijibu maswali yangu yafuatayo :- 1.je ? Unaamini babu seya alibaka au unaamini hukumu ya hakimu? 2.unaposikia cooked case huwa unaamini kuwa zipo? 3.umewahi kuadhibiwa na wazazi kwa kosa lisilo lako?4.umewahi kuchapwa viboko shuleni kwa kosa lisilokuwa lako? 5. Umewahi kuona/kusikia mtu aliefanya kosa live na mwisho wa kesi akawa huru kwa kutopatikana na hatia?(mf yule alie mpiga risasi dereva dito) nipe jibu faizifox

Mkuu, kwan hukum ndio inatoa jibu sahii la nani ni mkosaji au si mkosaji? Ni wangap wanafanya makosa kweli lakin wanasalimika? Au ni wangapi wanakuwa hawana hatia lakini mwisho wa siku wanaozea jela? Wewe umesoma hukumu, ila mimi nimehudhuria kesi!

Katika baadhi ya shahid zao, mzee Nguza alisema kuwa ile bendi yake ya ACHIGO ilikuwa ikifanyia mazoezi nyumban kwake(hata mm mwenyewe nimewai kuishuhudia hiyo bendi ikifanya mazoezi sehem hiyo) na akawaita wenzake(bendi) ila cha ajabu ushahidi wao haukuzingatiwa! Pia kwa tarehe ambazo zilitajwa kwamba watuhumiwa ndo walitenda kosa, katika baadhi ya hizo tarehe Papii Kocha Mtoto wa Mfalme alikuwa ziarani sehemu za mikoa ya kaskazin ukiwemo arusha pamoja na lady jay dee! Pamoja na lLady jay dee kufika mahakamani na diary yake kuonesha jinsi ratiba ya ziara yao ilivyokuwa bado huo ushahidi ulipuuziwa!

kama vile haitoshi, moja ya shahidi za upande wa walalamikaji ni kwamba mtoto mmoja kati ya wale alisema kuwa aliona wadudu weupe wakirukaruka kutoka kwenye uume wa babu seya! Swali; je, shahawa za mwanaume ni mfano wa wadudu wanaorukaruka?

yaan nina fact kibao za kukufanya uone hii hukumu haikuwa ya haki! Mko sawa wazee niendelee?

...............endelea mkuu shusha nondo shusha nondo mwaga manyanga.

Maengo na faizifox tafadhari ludini tumalizie mjadala.

hii kesi mi imenipa wasiwasi hivi kweli baba na wanawe wanaweza kuvua nguo na kuwafanyia watoto unyama huo kwa wakati mmoja? haya si maadili ya kiafrika.waafrika tumeumbwa na soni hata filum za porno hatuwezi ku-watch na wazazi wetu.Hii kesi ina utata.

Nish umeonaeee hata mimi huko juu nimejaribu kuiangalia hii kesi kwa kutumia akili zangu asili huku nikijaribu kuunganisha matukio madogo pamoja na vigezo walivyotumia kumtia hatiani,imenifanya niwe na shaka juu ya hii kesi.

anatola na msamaha wa Rais 2015 sikukuu ya naniino usiwe na shaka amevuna alichopanda akusoma nyaakati na kujua anashindan na nani

Cold case...

Je wanaweza kufungue tena hii kesi
Na kutumia Technology kupata ukweli
Wa haswa... (DNA)?

Maana siku hizi wanafukua hata mifupa tu
na wanamkamata muuaji....

anatoka na msamaha wa Rais 2015 sikukuu ya naniino usiwe na shaka amevuna alichopanda hakusoma nyaakati na kujua anashindan na nani
hapo umesema.kwamba hakujua ana shindana na nani.hilo sina ubishi mkuu.

Cold case...

Je wanaweza kufungue tena hii kesi

Na kutumia Technology kupata ukweli

Wa haswa... (DNA)?

Maana siku hizi wanafukua hata mifupa tu

na wanamkamata muuaji....
DNA ni best kama hakutakuwepo na upikwaji wa kesi.tofauti na hilo yanaweza kuwa yale yale.watu wana hack mpaka ma ATM Na ma computer seuse hiyo dna machine.

DNA ni best kama hakutakuwepo na upikwaji wa kesi.tofauti na hilo yanaweza kuwa yale yale.watu wana hack mpaka ma ATM Na ma computer seuse hiyo dna machine.

DNA isifanyiwe Bongo..

i rahisi sana ku hack Computer sijui ATM..
Google utapata njia zote hata jinsi ya kutengeneza
mabomu ...
lakini usicheze na DNA machine ..
majibu yatatoka 100% correct ...

ikifanyiwa Bongo na hizi rushwa
wanaweza wachakachue majibu yaliyo sahihi....

(kwanza kuna sehemu ya kufanya DNA kama hizi Bongo)??

sinauhakika unajua watu siku hizi wamekuwa wakitabiri hata matokepo ya kesi kutokana na mlalamikaji alivyo ki uchumi au mtuhumiwa ailvyo ki uchumi,

mfano:mlalahoi hawezi akafungua kesi zidi ya tajiri au kigogo na mwisho wa siku awe mshindi.
pia kigogo au tajiri hawezi kumshitaki mlalahoi na kesi isimuangukie mlalahoi.
kama jinsi ilivyo katika sinema wana msemo wao unao sema sterling hauwawi.nadhani kuna mazingatio ndani yake.

Yanayosemwa yaweza kuwa yana ukweli au hayana ukweli,lakini ni vyema kuwa wakati mwingine kuangalia ushahidi wa kimazingira huyu SALMA ni wimbo ambao BABU SEYA aliuimba ni wimbo wa mapenzi.Kwangu mimi naona ni wimbo kama SEYA au KADELE KANSIMBA na mengineyo.Ila lisemwalo lipo,

Naomba kuuliza kuna mtu nilipata kusikia alilalamika sana kuhusu swala hili la babu seya,kwa kuwa jamaa huyo kisiasa ni jabari wa hoja zenye mashiko hasa zilizo jaa picha ya uzarendo na picha ya Taifa huru.Alilishikia bango sana swala la Msanii huyu na familia yake, kiasi kuwa inasemekana wenye akili zao wakamvuta mkono kumuonyesha moja ya matukio ya mfungwa huyo ,manake sio mtuhumiwa tena.Mjenga hoja huyo nasikia alipopewa shahidi hizo alisema maneno ambayo nisingependa kuyasema hapa manake kama ni kweli gwiji huyo wa hoja za utetezi wa kuwa daima tofauti na Serikali inaonekana aliuunga mkono maamuzi hayo na kwa nyongeza yeye alisema angekuwa yeye ndio mtoa hukumu angeenda zaidi ya hapo.Sijapata tena kumsikia na habari za BABU Seya na familia yake.

Lakini majina haya wakati mwingine hizi nick name jamani sio bora tu uanamilki nick name [As Known As] .Kwa wenzetu waliotuanzishia hizi nick name [AKA] walimaanisha jinsi gani jamii inavyokuchulia.

Kuna majina ya koo [Sir Name] za kiafarika nyingi zimepatikana kutokana na mababu zetu kupewa aka na ndio ukawa jina la kizazi chake.Japo walikuwa na majina yao.

Mwanamziki sugu zamani alkuwa anaitwa 2PROUD lakini apokuwa mtu mzima akastuka na kuona jina hilo sio sahihi,mwishowe akachagua jina la MR SUGU akimaanisha kuwa kapitia misukosuko mingi ya maisha kiasi kuwa kesha kuwa sugu wa heka heka za maisha ya kitanzania.Kwa jina hilo hilo la Sugu jamii imekubali na kumpa mamlaka kubwa ya kuitumia jamii kubwa ya wanambeya mjini kama mbunge wao.

Kuna Msanii mwingine maarufu kama DUDU BAYA nae kupitia jina hilo kajikuta na misukosuko kibao yenye kuonyesha mtafaruku mkubwa ukuhusisha na jina lake unapigia mstari kuwa mambo si shwari kwa upande wake.Mwishowe nae kalimwaga jina lake la DUDU BAYA.Kidogo misukosuko ikampunguzia mtafaruku.

Hivyo basi nick name ama aka zetu ubeba maana ambayo kama wanadamu wakati mwingine utuelezee jinsi ndani yetu picha ya sisi wenyewe tulivyo.

BABU SEYA ndani ya jina lake kuna ongezeko la jina ambalo na hakika sio jina la NASABA YAKE ila yaweza kuwa ndio NICK NAME {AKA} yake aliyochagu na kuifanya ni sehemu ya maisha yake na kuiingiza ndani ya majina yake na kulithisha vizazi vya kina NGUZA JUNIOR.Jina hilo ni VIKING. Jina hili la Kwa kiingereza lina maana yake na maana yake ni tata hivyo tukiliejea uchaguzi wa majina yetu ya kujitanabaisha basi tuwe makina kuangalia ni jina gani.

Kwa lugha ya kiingereza VIKING maana yake
[The Vikings were men who sailed from Scandinavia and attacked villages in most parts of north-western Europe from the 8th to the 11th centuries.]

Viking ni mmoja waharamia wa scandinavia walioshambulia na kuteka nyara ya pwaniya Ulaya kati ya karne ya 8na ya 18] English and Swahili Dictionary 2nd Edition Universty of Dar es Salaam.

Naomba msaada unapata picha gani, wakati mwingine kama ni great thinkers tunaweza kwenda kichwani kwa kutumia theory na assumption kutafuta majibu ambayo sisi hatunayo.Moja ya sifa ya kuwa great thinker sio kuwa spoon feeder bali kuweza kujijbu kupitia taarifa tofauti tofauti zinazofika machoni pa macho yako.Ingawa yaweza kuwa isiwe hivyo lakini kwanini isiwe hivyo wakati tayari una IDENTITY hata kabla ya matukio.

Nani jamani asiyejua siku hizi Rais wetu kuwa wanajamii wamempa IDENTITY au aka ya kuwa ni VASCO DA GAMA.Ni kweli Rais wetu anasafiri sana,tusicho kijua je katika safar zake hizo zina faida kwetu au ni utalii?hilo ndilo swali tunalopaswa kujiuliza.Ila kwa kuwa wenyewe tumempa jina hilo pasipo kujua pia tumemjenga.Kama ni mtalii basi tungemka Nick Name [AKA] inayoendana na haiba yake hiyo.Lakini kwa kutokujua tusichokijua tumempa haki yake iliyosababisha akaka kwenye kiti hicho cha urais.

Nani asiyejua umuhimu wa VASCO DA GAMA kwa mabeberu au mabosi wake.Nani asiyejua umuhimu wa Christopher Columbus kwa Taifa la Marekani.Vivyo hivyo uenda safari za leo TULIZO MBATIZA NAZO RAIS KIKWETE zikawa na faida kwa vizazi vijavyo.Kwa kuwa waswahili usema MIDOMO inaumba.VASCO DA GAMA alikuwa mpepelezi na mvumbuzi wa makoloni ambayo baadae wakoloni walikuja wakasimamisha bendera na kutuibia Marighafi zote aliozokuja kuchunguza huyo bwana mkubwa Vasco Da Gama.

Kwangu huu ni mtazamo tu.unaweza pia kujicheki, Mzee Ally Hassan Mwinyi [Mzee wa Ruksa] alisema kila zama na vitabu vyake.Nani asiyekubali jina la Mzee Ruksa kuwa ni HAIBA YA MZEE HUYO,hata wajukuu zake kuitwa mjukuu wa Mzee Ruksa wanajisikia Raha na moyo kwatu.

Je Mjukuu wa Viking!!!!!!!!

vya wakubwa haviguswi!!

Tuchukulie assumption ya kwanza ya wadau wewe ingekuwa ile inakuhusu kwa upande wako ungefanya nini?Si unajua cha mtu M...VI!!!!

Acha hizo kutetea ubakaji,
-Ukiona hao wenzake Nguza wa ACHIGO bendi ushahidi wao haukutiliwa maanani basi ni kwamba ulikuwa ni pumba (haukuweza kuishawishi mahakama)

-Hakuna mahali ulia mbiwa kwamba ubakaji ulifanyika mara moja, kama Papii alikuwa ziarani baadhi ya siku, je baadhi ya siku alizokuwepo asingeweza kubaka?

- Mtoto kuona shahawa zikitoka na kufananisha na wadudu weupe wakiruka inawezekana kabisa, labda wewe ukiwa ni -mke unaweza ku-doubt hili kwa sababu labda mara zote shahawa zikitoka huzioni kwa sababu inakuwa iko 'kunako' lakini kwa -mme lazima utakuwa umeshaona japo mara chache (naamini kama wapo wanaume ambao hawajafanya masturbation basi asilimia yao ni negligible) kwamba shahawa zikitoka huwa zinaruka.

Inasikitisha kama kweli tunaweza kutetea huu uovu, kunaq imani kwamba haya madudu yote yalifanyika kwa Imani za kishirikina-ili kusafisha nyota- sina hakika na hilo na wala si muumini wa hayo mambo hivyo nisiulizwe ushahidi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…