Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3. Jakaya mrisho kikweteNdugu zangu wanajamvi kwa muda wa mwezi mzima nimekuwa kifungoni Bann la mods wa JF, kwa hiyo nilikuwa navist kama guest tangu 18th sept mpaka 18th oct eti kisa nilimtukana nape kwamba ni ******, sasa nimerejea namshukuru sana mods. Wakati wa kifungo changu nimetumia muda mwingi kufikiria juu ya mateso wanayoyapata wafungwa huko gerezani hasa wale walioonewa kama mm maana kupigwa bann eti kisa umemtukana nape ni uchokozi. Jamani mnawajua wafungwa wa kisiasa ama walioonewa hapa Tanzania? kama unaona kuna mtu yuko uraiani lkn alipaswa awe kifungoni hebu muweke hapa Mimi naanza na hawa:
1.Babu seya
2.Mkapa
3.
4.
huyu hakubaka mbona wote tunajua chanzo? Kumbuka wimbo wake wa "salima" ndio uliomponza mwenye masikio na asikie the home of great thinker.
nani aliye waona hao watoto?
mwl aliyekuwa anawapeleka mbona hakushtakiwa?
mbona hakuna ushahidi wa daktari?
.........................
...........................
...............................
mwenye nguvu mpishe!
adhabu imekuwa kubwa sana kuliko kosa if this is the case 'cause hakumfunga na kamba bali aliufuata mwenyewe kwa hiari yake na babu akawa anajigawia.
sema ile dedication nayo ilichangia adhabu kuwa kubwa "seya tukoke woteeee wasema uko wanguuu......" wakati si wake -- ha ha ha
ooooh lakini siyo salma wetu huyu kikwete?