Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela
Kilichopo hapa ni kwamba amewekwa gerezani, kama wewe unatafuta haki jaribu uone kilicho ndani ya kesi yake. Kosa la nguza linafahamika, jaribu kutumia muda wako ujue ni kwanini amewekwa ndani , na ni kwanini hatatolewa kwa msamaha wa mwaka mpya au wowote ule. At least for now. Ukumbuke kuwa Tanzania si nchi ya haki, nguza si wa kwanza. At least yeye yuko gerezani. Kuna wale waliopigwa risasi pale Sinza bila hatia, no body cares and life goes on.
ops!! Tutakwisha!
vya wakubwa haviguswi!!
hahaha.we bwana ishia hapo hapo watu hapa tumenuna afu wewe unatuchekesha.istoshe unaongea kwa nguvu namna hiyo,bora unong'one wakikusikia itakuwa balaa tupu.
anatola na msamaha wa Rais 2015 sikukuu ya naniino usiwe na shaka amevuna alichopanda akusoma nyaakati na kujua anashindan na nani
msamaha wa raisi hauhusiki na makosa hayo.ni kumuombea mungu tu ampe moyo wa uvumilivu mpaka mwisho wake
mungu jaaria maisha na afya njema kwa babu pia mpe staha na uvumilivu hasa ktk kipindi hiki kigumu aamen!
Mkuu mimi sipendi kabisa hizi nyimbo za dansi wala bongo fleva...BUT hakuna kitu kinachoniuma ninapokumbuka maisha ya huyu mzee,real it is sad,na unapokumbuka kuwa ni mchezo mchafu kabisa...na hata watu wanafahamu hivyo...LAKINI Mungu uwa hawezi kuacha udhalimu ufanyike kwa mtu mwingine bila kosa lolote...MUNGU atamlipa kila mmoja kulingana na matendo yake...
great thinkers kuna wanasheria wengi tu humu embu tusaidieni kwa hili huyu jamaa kama kweli hakubaka atoke gerezani najua tumebobea sana wanasheria kibao au mpaka Dr awe rais?
aamin!! mungu yupo pamoja nao walio
sio porno tu yaani hata kuangalia zile tamthiria watu wakiwa wanakiss ni issue,mimi ni mkubwa sasa hii n still hata kutambulisha kimeo kwa mama naona noma,unless nikitaka kuoa which is not happening anytime soon.najua tunapenda huu mchezo lakini si kwa watoto na si kwa watu zaidi ya 5 wakiwa wanajua kinachoendelea,na nani kasema watoto hawadanganyi?watoto wanadanganya tu tena sembuse hao 6 to 10 yrs wakubwa kabisa wanafundishwa na wanaelewa na kesi zetu zinavyoenda wala haziwezi kuwa zilieneshwa kiutaalamu.ipo siku tu yataonekana sawa though sijui ni nani aliwaharibia maisha hivi lazima usiku atakua anaota maluweluwe,noma sana aisee mtu kukufunga maisha bila kosa bora akuue tu ijulikane.
Hakuna haja ya kumuonea huruma mbakaji. Hivi angekuwa amefanyiwa mwanao ungefurahi? Hii adhabu nadhani haimtoshi, watu wa aina hii hutakiwa kunyongwa tu.
No comment mkuu, kuna watu huwa tunatamani kuwaua ila tunawapeleka polisi mwisho wa siku unaambiwa ulimbambikia kesi 95% ya wabakaji bongo wanashinda kesi.... kwa hili, Yeye babu seya na Mungu wake ndio wanajua ila siwezi mtetea mtu, tuache ushabiki
NB: Tungeanza na waganga wa kienyeji (sio wote) ambao ndio chanzo cha yote haya. mtu anaambiwa azini na watoto kadhaa wa U5 au U10 ndio atafanikiwa au atapona Brrrrrrrrrrrr
Jamani Mungu yupo, kwanini watu tunataka kujigeuza Miungu? Mambo ya huyu mzee msiyapeleke kishabiki kisa unamchukia jamaa fulani aliyeassociate na issue.. wote mnao laani hapa ni kwasababu ya hisia tu mlizo nazo. time will tell na viti vyote vitabinafsishwa lakini Mungu hawezi kubinafsishwa ni wetu sote kuanzi jeikei mpaka babu S.
wala haitatokea binadamu ajigeuze mungu.ila kinacho wauma watu ni ule utata wa mazingira ya kesi yenyewe na pia mitazamo ya nchi yao inakoelekea.kumbuka ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji.
Nguza Viking na Wimbo wake Wa Salma,bado tu ujapata pichaaa kwa nini alibambikiwa kesi?????"?
Last edited by a moderator:
na jana nikaubamba ule wimbo wao channel fulani...ule wimbo kwakweli umenikaa sana sidhani km utantoka
haijalishi waimbaji walifungwa au vipi
nilijikuta napatwa na huzuni tu kwakweli
Dah Kama kweli wameonewa nadhani haki itaonekana hivi karibuni. Ila mkwele kama una bifu nae atakupeleka kubaya si unaona Liyumba anamaliza kifungo jamaa kamuibukia kuwa amempigia simu ashtakiwe tena!
Mimi niliposikia wale watoto walivyofanywa na huyo babu roho iliniuma sana kwa kuwaharibia maisha malaika wa mungu,kila nikisikia nyimbo zake nafunga radio au kama nilikuwa kwenye grossary nimesikia zikipigwa nahama na kuacha kilaji changu hata kama ndo nimepiga funda moja
Anayejua story tofauti kwanini asiweke bayana hapa jamvini great thinkers wasome na kuchambua? kusuport hizi hisia kwamba alifanyiziwa/alilipiziwa kisasi? Otherwise tutakuwa tunaendelea kujadili gossips na huruma isiyo na mashiko
Ishu ni kwambo those guys ni kweli kuwa they have been found guilt coz walifanya hicho kitendo, chanzo kikubwa ni kutaka kukua kimuziki na kuanzisha bendi ambayo ingewika sana Tz,so ilikuwa ni mashart kuwa they hav to do such a thing all of da family members so as to start a family band that will conquer the country and through that they will make huge money out of it...and then da story goes on lyk that til wakakamatwa , sio otherwise!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…