Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

ukisikia nimekufa usiweke msiba ila sherekea kwasababu una roho mbayaaaaa! Kosa gani lisilosamehewa......
 
Ndugu zangu wanajamvi kwa muda wa mwezi mzima nimekuwa kifungoni Bann la mods wa JF, kwa hiyo nilikuwa navist kama guest tangu 18th sept mpaka 18th oct eti kisa nilimtukana nape kwamba ni ******, sasa nimerejea namshukuru sana mods. Wakati wa kifungo changu nimetumia muda mwingi kufikiria juu ya mateso wanayoyapata wafungwa huko gerezani hasa wale walioonewa kama mm maana kupigwa bann eti kisa umemtukana nape ni uchokozi. Jamani mnawajua wafungwa wa kisiasa ama walioonewa hapa Tanzania? kama unaona kuna mtu yuko uraiani lkn alipaswa awe kifungoni hebu muweke hapa Mimi naanza na hawa:
1.Babu seya
2.Mkapa
3.
4.
 
3. Jakaya mrisho kikwete

kwa kosa la kudanganya Umma na kuutapeli kura zao kinyuma cha sheria. Miaka michache iliyopita alidanganya umma kwamba ataleta maisha bora kwa kila mtanzania, huku akijua fika kwamba ni uongo.
 
edward lowasa mwizi na fisadi wa Richmond
rostam abdul rasul Aziz mmoja wa mafisadi wakubwa.
Reginald Mengi anatumia uzawa wake kuwa hadaa watu huku akiendelea kuliibia taifa
 
Huyu alibaka kweli na kama unataka uthibitisho tembelea familia za watoto waliotendewa kitendo hicho upate ukweli. nyingi ya familia hizo wanaishi maeneo ya sinza jirani na mashujaa primary school. Ameharibu watoto na si kusingiziwa!
 
nani aliye waona hao watoto?
mwl aliyekuwa anawapeleka mbona hakushtakiwa?
mbona hakuna ushahidi wa daktari?
.........................
...........................
...............................
mwenye nguvu mpishe!


huyu mzee kaujumiwa kwa sabau tu ya Kitumbua. Mkuu wa kaya noma
 

Mkuu unautani wa chubani wewe ha ha haaa
 
ohhhh salimaaa, saliiimaaa......na mengineyo ya kutoka wote, mhhh mbaya huyu mtu aliemdhulumu maisha nguza viking na papii, ila ngoja amalize ukiranja mkuu, i smell something fishy is cooked up for himmmmmmmmmmmmmm
 
hahaha True that,kikubwa kikidondoka kinamshindo.sio wewe tu kila siku
 
Nimesoma post nyingi sana hapa ambazo zina point wimbo salima,huu wimbo wake unauhusiano wowote na kifungo chake?
 
imotions ndio zimewajaa wabongo> wanaishia kulalamika kidown down, kama kulikua na mwenye ushahidi hawajabaka angejitoa mhanga akasimama front, bt kwa ukunguru wetu kila mtu anakaa kimya af mnakuja kulalamika kwenye forums like this, mfano hai ni watu wanauliza hapa nini chanzo.. hakuna anaetoa jhibu la kueleweka! where r we heading???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…