Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

Shuhudia Babu Seya Na Papii Kocha Wakitoka Jela

Nimekubali Magufuli moyoni mwake hakuna known dots of stains. Ni msafi, makosa yake ni kama ilivyo kwa yeyote anayetembea popote ikiwemo kwenye utelezi, anaweza teleza!
 
Babu Seya na mwanae Papii Kocha wakitoka kifungoni Gereza la Ukonga jijini Dar jioni hii baada ya kupata msamaha wa Rais dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia tokea mwaka 2004.

bd967543393420e7e4f61f68f398ccee.jpg



Weraweraaa
 
Kuna watu "wajinga wajinga" hawajui undani wa story ya babu seya wananikera mnoo!kuona wanalaani kitu wasokijua.. Kama unaishi bila kutumia mantiki unaweza kuwa mtu mbaya sana.
Tupe ushahidi basi
 
Back
Top Bottom