Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

Uache kuwa mjinga, Hakuna sababu yoyote ya kujenga jengo kama hilo kwa zege tupu. Hata hayo mejengo ya zamani hayakujengwa kwa zege mwanzo mwisho bali walitumia mawe

Ungesema ratio iliyotumia kujengea ilikua kubwa, hapo sawa. Lakini sio kuta zote za hiyo nyumba kujengea kwa zege. Hiyo HAIWEZEKANI, Hakuna kitu Kama hicho.
 
Tumepigwa, kwa haraka haraka hapo ni Kama million 120 mpaka 300
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…