Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

Huku nnapokaa ilikua inajengwa kama hiyo nadhani ramani zinafanana!!

Hiyo raman imesanifiwa na chuo cha ardhi kwa jinsi nilivyosoma bango la mradi!!

Sema kitu sikupenda shimo la choo limewekwa mbele ya jengo!!

Nnachoweza sema haya ndiyo majengo imara yaliyo jengwa na serikalj miaka hii ya karibu achana na yale madarasa feki ya uviko
Uache kuwa mjinga, Hakuna sababu yoyote ya kujenga jengo kama hilo kwa zege tupu. Hata hayo mejengo ya zamani hayakujengwa kwa zege mwanzo mwisho bali walitumia mawe

Ungesema ratio iliyotumia kujengea ilikua kubwa, hapo sawa. Lakini sio kuta zote za hiyo nyumba kujengea kwa zege. Hiyo HAIWEZEKANI, Hakuna kitu Kama hicho.
 
Habari ndugu wapambanaji..

Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli?

Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa..

Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa yalijengwa kwa gharama kubwa Sana ambazo haziakisi uhalisia.

CAG pitia na kipande hiki..👇

View attachment 2470268
Tumepigwa, kwa haraka haraka hapo ni Kama million 120 mpaka 300
 
Back
Top Bottom