Shuhudia leo Samba football Simba vs JKT Tanzania

[emoji115][emoji120] nimekubali matokeo. Natamani na huyu Molinga wetu aka Falcao, naye awe na uchu wa kufunga kama Kagere, badala ya kuwa busy kupaka ile mirangi yake kichwani.
Nikupongeze kwa hilo kukubali matokeo
 
Kwahiyo akifunga akiwa Gor Mahia anakuwa sio Medie Kagere mfungaji?
 
Wale Wahindi wameletwa kimakosa, wanakula hela za bure tu
 
Mkuu unafuatilia mpira....simba vs al haly goli hakufunga kagere mkuu alifunga zahera....simba vs js saoura kuna goli nafikiri hilo alifunga balinyi....simba vs mbabane kuna magoli nafikiri alifunga yondani...tufanye kagere hakufunga goli lolote kwenye hizo mechi
 
Mechi za kimataifa wanamwelewa Medee Kagere huwa wanampa ulinz umkubwa sana hawampi nafasi
 
Ukiwa mwongo kuwa na kumbukumbu pia chura maji yameisha jangwan unatapatapa tu
 
Ukiwa mwongo kuwa na kumbukumbu pia chura maji yameisha jangwan unatapatapa tu

Sasa mbumbumbu fc mnataka nikae na kumbukumbu ya idadi ya magoli ya Kagere kwa faida ipi sasa! Rage alikuwa na akili nyingibsana. Ni ukweli usiopingika, hajafunga mechi nyingi za kimataifa kuliko zile za ndani.
 
Hayo ndo mashindano pekee mnayoyategemea kwa saså, usajili wote mnaishia kucheza ligi kuu tu safar hii hata kagame cup mtaililia kuwepo
KAMA TIMU YA MLANDIZI IMEWASHINDA LIGI HII MTAMFUNGA NANI TEGEMEENI KUSHUKA DARAJA
 
Mechi za kimataifa wanamwelewa Medee Kagere huwa wanampa ulinz umkubwa sana hawampi nafasi

Kagere ni mzuri na msumbufu pia kwa mabeki wa bongo tu ambao uwezo wao ni mdogo kwenye ukabaji ila ukija kwenye mechi za kimataifa mkubali tu ukweli huwa anaruka ruka na tu uwanjani. Mfano mzuri ni mechi zote mbili dhidi ya ud songo!
 
Sasa mbumbumbu fc mnataka nikae na kumbukumbu ya idadi ya magoli ya Kagere kwa faida ipi sasa! Rage alikuwa na akili nyingibsana. Ni ukweli usiopingika, hajafunga mechi nyingi za kimataifa kuliko zile za ndani.
Kwasababu za kimataifa ni chache kuliko za ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…