juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
Kwani msimu uliopita alifunga mangapi kweny caf champions league
Inawezekana kabisa ligi kuu yetu ya Tanzania ni ya kawaida sana! Nimemfuatilia kwa muda sasa, namuona Meddie Kegere kama moja ya washambuliaji hatari sana kwenye ligi yetu kwa msimu wa pili sasa!
Cha kushangaza anapocheza mechi za kimataifa, utamgundua ni mchezaji wa kawaida sana tofauti na wachezaji wenzake kama Clotus Chama, nk. Huwa anaruka ruka tu na kukimbia kimbia hovyo uwanjani.