Shuhudia leo Samba football Simba vs JKT Tanzania

Kwani msimu uliopita alifunga mangapi kweny caf champions league
Inawezekana kabisa ligi kuu yetu ya Tanzania ni ya kawaida sana! Nimemfuatilia kwa muda sasa, namuona Meddie Kegere kama moja ya washambuliaji hatari sana kwenye ligi yetu kwa msimu wa pili sasa!

Cha kushangaza anapocheza mechi za kimataifa, utamgundua ni mchezaji wa kawaida sana tofauti na wachezaji wenzake kama Clotus Chama, nk. Huwa anaruka ruka tu na kukimbia kimbia hovyo uwanjani.
 
Shida ya Tanzania ni wasahaulifu sana, Kagere msimu uliopita alikua nyuma ya mfungaji aliyeongoza kwa kufunga CAF champion.
Sasa unasemaje hafanyi chochote.
Rudi tena na hoja nyingne hii imebuma.
 
Tumefungua kwa show game ya hatari na tumeshinda...SimbaNguvuMoja
Hayo ndo mashindano pekee mnayoyategemea kwa saså, usajili wote mnaishia kucheza ligi kuu tu safar hii hata kagame cup mtaililia kuwepo
 
Inawezekana kabisa ligi kuu yetu ya Tanzania ni ya kawaida sana! Nimemfuatilia kwa muda sasa, namuona Meddie Kegere kama moja ya washambuliaji hatari sana kwenye ligi yetu kwa msimu wa pili sasa!

Cha kushangaza anapocheza mechi za kimataifa, utamgundua ni mchezaji wa kawaida sana tofauti na wachezaji wenzake kama Clotus Chama, nk. Huwa anaruka ruka tu na kukimbia kimbia hovyo uwanjani.

Ngoja tukukumbushe kidogo nafasi ya ufungaji bora iliyoshikwa na huyo mchezaji wa kawaida anayerukaruka tu

1567094275557.png

Bila shaka alifunga hizo goli kwenye mechi za awali au hao CAF wamejumlisha na magoli alizofunga alipokua Gor Mahia, kabla ya kuhamia Simba! Maana kumbukumbu zangu zinaonesha hakufunga goli lolote kuanzia mechi za Nkana, Al ahly, As Vita, Tp Mazembe, Ud Songo, nk.

Karibuni kwa data zaidi tafadhali mashabiki wa Simba. Sina tatizo na Striker wenu, yuko vizuri kwenye ligi yetu. Ila kwa upande wa kimataifa, bado naona ana stuggle tu.
 
Kumbu kumbu huna Al ahly mechi ya kwa Mkapa kapiga goli pass akipokea kwa Bocco,Nkana kapiga goli la pili kwa kichwa
 
👆🙏 nimekubali matokeo. Natamani na huyu Molinga wetu aka Falcao, naye awe na uchu wa kufunga kama Kagere, badala ya kuwa busy kupaka ile mirangi yake kichwani.
 
Bila shaka alifunga hizo goli kwenye mechi za awali au hao CAF wamejumlisha na magoli alizofunga alipokua Gor Mahia, kabla ya kuhamia Simba! Maana kumbukumbu zangu zinaonesha hakufunga goli lolote kuanzia mechi za Nkana, Al ahly, As Vita, Tp Mazembe, Ud Songo, nk.

Karibuni kwa data zaidi tafadhali mashabiki wa Simba. Sina tatizo na Striker wenu, yuko vizuri kwenye ligi yetu. Ila kwa upande wa kimataifa, bado naona ana stuggle tu.
Hoja yako ilikuwa anarukaruka tu mechi za kimataifa,umeletewa takwimu za mechi za kimataifa umeanza kuhara. Hara salama
 
Yanga anategemea mashindano gani tofauti na Ligi ambayo hata kubeba hataweza.??
Nyie usajili wenu mnalia daily.
Yanga ndo timu pekee inąyoiwakilisha nchi katika michuano ý CAF Champions. Nyie na wabražil wenu wauza ngada mtabaki apa hapa
 
Back
Top Bottom