Shuhudia leo Samba football Simba vs JKT Tanzania

Yanga ndo timu pekee inฤ…yoiwakilisha nchi katika michuano รฝ CAF Champions. Nyie na wabraลพil wenu wauza ngada mtabaki apa hapa
Hata mimi nakubali, huu ndio ukweli.
Endelea kuwakilisha ila ukumbuke na nyumbani.
 
MBAMBANE 0 - 4 SIMBA Sc
Chama'28
Chama'32
Okwi'51
Kagere'63
SIMBA Sc 4 - 1 MBAMBANE
Bocco'8
Bocco'33
Kagere'84
Chama'91
SIMBA Sc 3 - 0 Js SOURA
Okwi'45+
Kagere'52
Kagere'67
SIMBA Sc 3 - 1 NKANA
Mkude'29
Kagere'45
Chama'88
SIMBA Sc 1 - 0 AL AHLY
Kagere'65
... Pitia vzr utakuwa na wivu tu mkuu au umechanganya madesa tu.
Lakini kwa ligi yetu hapa bongo nani anamzidi KAGERE toka aje Simba kutoka Gor mahia.. Mechi za bongo + Kimataifa..?
Ebu mtaje tuwa'rank ...( )
 
Ud Songo.-.Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ