Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuaje tena watoto wa Mama Tanzania wanapigana ngumi?Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
View attachment 2233513
Nilitumia 1b+ mpaka sasa hivi naugulia maumivu.Dogo mbona unaleta hasira . Kabla sijakujibu hebu eleza tatizo nini? Ulitumia pesa nyingi kusaka ubunge 2020 ila ukapigwa?
Ccm B ya Jaji Mtungi na Cisty Nyahoza hutawasikia kwa hili🤣🤣Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
View attachment 2233513
Nakubaliana na wewe. Hao ndio wanataka kulalia mlango wa chadema kwenye Tume Huru na Katiba Mpya??🤣🤣Ndio maana wengine tunawaambieni Tatizo la Tanzania sio vyama vya siasa, tatizo tuna % kubwa ya watu wa ovyooo kwenye jamii yetu.
Huyo ni kijani aliyavamia mkutano usiomhusu kachezea kipigo cha mbwa mwitu.Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
View attachment 2233513
Hapo ndo ushangae sasa. Ina maana vurugu zimefanywa na ccm.Mi naona shati la kijani
Bwashee nimeanza kujizoeza kukutoa kwenye kundi la nyumbu na kukuheshimu, nisingependa kukuambia na wewe upate nafasi ukutani kule kwa lisu, kwa hiyo tuheshimiane.Naona mataahira mnatamba kwa sababu mmmeshapata nafasi ya kuzikwa huko chattle.
Huyo mjumbe anayeonekana sekunde ya 30 hadi ya 35 ana agenda gani hapoVijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
View attachment 2233513
... fighting is among the basic characteristics of mammals; fighting for food, recognition, females, etc. We, human beings, are mammals Africans being more mammals.Wanaume mnapenda sana ugomvi na kupigana, ingekuwa nchi zinaongozwa na wanawake tungekuwa tu na nchi haziongeleshani! Amani tele
It's men who fight, do females fight for such things... fighting is among the basic characteristics of mammals; fighting for food, recognition, females, etc. We, human beings, are mammals Africans being more mammals.
... don't females fight for food? for recognition? for the opposite sex partners? I think they do.It's men who fight, do females fight for such things
Wewe ukiwepo.Ndio maana wengine tunawaambieni Tatizo la Tanzania sio vyama vya siasa, tatizo tuna % kubwa ya watu wa ovyooo kwenye jamii yetu.