Shuhudia vijana wa Mbatia wakitembeza kichapo

Shuhudia vijana wa Mbatia wakitembeza kichapo

Naona mataahira mnatamba kwa sababu mmmeshapata nafasi ya kuzikwa huko chattle.
Dogo mbona unaleta hasira . Kabla sijakujibu hebu eleza tatizo nini? Ulitumia pesa nyingi kusaka ubunge 2020 ila ukapigwa?
 
Dogo mbona unaleta hasira . Kabla sijakujibu hebu eleza tatizo nini? Ulitumia pesa nyingi kusaka ubunge 2020 ila ukapigwa?
Nilitumia 1b+ mpaka sasa hivi naugulia maumivu.
 
Ndio maana wengine tunawaambieni Tatizo la Tanzania sio vyama vya siasa, tatizo tuna % kubwa ya watu wa ovyooo kwenye jamii yetu.
Nakubaliana na wewe. Hao ndio wanataka kulalia mlango wa chadema kwenye Tume Huru na Katiba Mpya??🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Naona mataahira mnatamba kwa sababu mmmeshapata nafasi ya kuzikwa huko chattle.
Bwashee nimeanza kujizoeza kukutoa kwenye kundi la nyumbu na kukuheshimu, nisingependa kukuambia na wewe upate nafasi ukutani kule kwa lisu, kwa hiyo tuheshimiane.
 
Wanaume mnapenda sana ugomvi na kupigana, ingekuwa nchi zinaongozwa na wanawake tungekuwa tu na nchi haziongeleshani! Amani tele
 
Mabumunda ya Mwendakuzimu mshapata Nafasi ya Kuzikwa pale karibu na mungu wenu Chato ?
 
Wanaume mnapenda sana ugomvi na kupigana, ingekuwa nchi zinaongozwa na wanawake tungekuwa tu na nchi haziongeleshani! Amani tele
... fighting is among the basic characteristics of mammals; fighting for food, recognition, females, etc. We, human beings, are mammals Africans being more mammals.
 
... fighting is among the basic characteristics of mammals; fighting for food, recognition, females, etc. We, human beings, are mammals Africans being more mammals.
It's men who fight, do females fight for such things
 
Duuuh msemaji wa chama anasema hao ni wahuni kama wahuni wengine na dawa ya wahuni ni kuwa muhuni zaidi yake......Nimaneno ya Simbeye
 
Back
Top Bottom