Shujaa Lissu achangiwe tena. Waliokwapua fedha zake wamefanya vibaya sana.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Watanzania mil 7 kila mmoja akitoa bukubuku inatosha kabisa kupata fedha za kumashika mkono Shujaa Lissu ambae yupo gerezani kawa bila makosa
 

Attachments

  • image_search_1769777866870.jpg
    58.3 KB · Views: 29
Leteni namba niko tayari kumchangia huyo Muhuni
 
Watazizuia tena, wazile..
Ogopa sana binadamu mwenye roho ya KISHETANI, halafu ndio awe na nguvu ya madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…