johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Amrehemu au aongeze ulnzi asitoroke kwenye moto wa milele?Kuluona luulo!😂😂😂😂Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi.
Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu"
Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
Uwe unamalizia vizuri title yake "Shujaa wa Africa" aka mtakatifu Magufuli🤣🤣🤣🤣Mods rekebisha heading hatupo = Hayupo
Aliyejitoa sadaka kwa ajili ya wengineUwe unamalizia vizuri title yake "Shujaa wa Africa" aka mtakatifu Magufuli🤣🤣🤣🤣
Amekuwa Yesu Masiah?Aliyejitoa sadaka kwa ajili ya wengine
Yesu alisema tukiwa na Imani tutatenda kama yeye!Amekuwa Yesu Masiah?
Kama wewe hukutekwa na kuuawa basi kazi hiyo hakuifanya ipasavyoUsikitajetaje jina huyu kichaa jiwe, ukilitaja unatukumbusha machungu ya kuporwa, kutekwa na kuuawa kwa ndugu jamaa na marafiki zetu
Kweli kabisaKama wewe hukutekwa na kuuawa basi kazi hiyo hakuifanya ipasavyo
Angekuwa Shujaa asingefia ZahanatiEnzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi.
Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu"
Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
Kwa hiyo angeua wote ndiyo mngefurahi?Wapunyufu ninyi!Kweli kabisa
Apumzike mwamba wa africa.A true son of Africa...a man who has proven to be hard to forget..kila nikitembea ktk inchi yangu hii pendwa nakutana na kazi zake zikiongea zenyewe, natabasamu kanyaga mafuta nikijipa moyo kua we once had a great leader, a man of his word mtu wa kazi..kwa hizi tozo na mikopo tuliyopokea within 2yrs angezipata yy nadhani angeupiga mwingi mara 3 zaidi ya alivyoupiga mwingi ktk miaka yake mitano.
Mtu anayejitoa sadaka anawambiaje watu wabaki na mavi nyumbani?Aliyejitoa sadaka kwa ajili ya wengine
Ndiyo ushujaa huo kufia nchiAngekuwa Shujaa asingefia Zahanati
Replace neno "Shujaa" with xShetani" ndiyo mada ita make senseEnzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi.
Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu"
Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
Hiyo TAKATAKA inakumbukwa na wajinga tu.A true son of Africa...a man who has proven to be hard to forget..kila nikitembea ktk inchi yangu hii pendwa nakutana na kazi zake zikiongea zenyewe, natabasamu kanyaga mafuta nikijipa moyo kua we once had a great leader, a man of his word mtu wa kazi..kwa hizi tozo na mikopo tuliyopokea within 2yrs angezipata yy nadhani angeupiga mwingi mara 3 zaidi ya alivyoupiga mwingi ktk miaka yake mitano.
Umauti umkuta Binaadamu mahali popote pale alipo! Sasa subiri zamu yako ya umauti kukufika,lazima utakukuta Guest house na Mchepuko ndiyo utajua kua hujui!!!Angekuwa Shujaa asingefia Zahanati